mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Ramli !!Vipindi viwili ni Kwa Rais aliyechaguliwa na wananchi.
Kwa sasa hawawezi zuia wagombea wengine kuchukua fomu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ramli !!Vipindi viwili ni Kwa Rais aliyechaguliwa na wananchi.
Kwa sasa hawawezi zuia wagombea wengine kuchukua fomu...
Endelea kuotaAlisema Yuko tayari kukabidhi Kwa Upinzani akishindwa.
Anyway hatogombea, sababu 2025 hakuna uchaguzi.
Chegeni ni smart?We need a break! Reform? Reform? Kwenye jeshi la polisi tumeona akiteua wauaji na wabambikiaji kesi kuwa viongozi...
Ndani ya Ccm ni afadhali yeye kuliko mwingine yeyote kwa sasa !!Hakuna mwana CCM yeyote mwenye ubavu wa kumgomea Rais wa Jamuhuri ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM.
Itoshe kusema fomu itachapwa moja na Rais anayetetea nafasi ataichukua ili akamilishe vipindi vyake viwili.
Na ndio maana anateua ambao 'hawajakua kiakili' kwenda kuwa wakuu wa mikoa.Nakumbuka Baba wa Taifa Mwal. Nyerere, miaka ya 70, Wabunge walitaka kujiongezea mishahara.
Akauliza “Nchi hii masikini, mnaotaka wawape mishahara mikubwa ni wananchi masikini, watatoa wapi hizo hela za kuwapa?...
Labda ! Au ndio Sii-hasa zenyewe !! Tusubiri tuone, Wanasemaga kimya kingi kina mshindo !!Ukimya wa Mbowe Si wa kupuuzwa, ni KWEMA MBELENI.
Amen.
Hanangu nguvu yeyote Mwenyekiti wa CCM hata ya kumkemea mbwa tuu pasipo kuwepo nguvu ya jeshi. Hata Kikwete alisema wazi CCM ikiendelea kutegemea mapolisi kufanya siasa imekwisha.Unaijua nguvu ya mwenyekiti wa CCM wewe?
Mara mia tano ya Saa100Chegeni ni smart?
Ni kipimo tosha cha uongozi dhaifu wa huyu saa100Vipi kama Chegeni yeye mwenyewe ndiye aliyeomba kutoipokea hiyo nafasi,ulitaka Rais amlazimishe tu?.
Unataka nikujibu nn?Mara mia tano ya Saa100
Ata wapunguzwe ili apitishe magendo yake ya meno ya temboNashauri askari wa usalama barabarani wapunguzwe, hah hah na wanapunguzwa ni pale mwanasiasa hata kama ni kanali mstaafu anapoingilia taaluma za wengi kwa msingi wa kisiasa...
Kama ni hivyo basi kutakuwa na shida sana kwa upande wake ...maana ili sa100 kuendelea kuwa rais 2025 lazima damu nyingi amwageAa thubutu!! Hakika nakwambia 2025 hakutakuwa na mgombea mwingine wa CCM isipokuwa mama
Wewe uoni alikua bora kuliko huyu anayedanganywa na wanao mzungukua hawezi ata tambua jipi zuri na jipi bayaAna nyota ya mavi according to you! Mama bado ni Bora kuliko mkatili yule, tumechoka kutawaliwa kibabe! Magu-fool alikuwa analala akiamka anatekeleza alichokiota bila kuangalia madhara yake!
Subiri miaka miwili ya mwisho kuelekea 2025 ndiyo utajua ninacho kisema ....maisha yatazidi kuwa mabovu tz kufikia 2023 mwishoni uchumi utakuwa umekufa rasmi.Hatogombea!!!!!! Maana hapatakuwa na UCHAGUZI 2025.
nishukuru kwa taarifaUnataka nikujibu nn?
Labda anazikusudia nguvu za Mwenyekiti ndani ya Ccm yake !!Hanangu nguvu yeyote Mwenyekiti wa CCM hata ya kumkemea mbwa tuu pasipo kuwepo nguvu ya jeshi. Hata Kikwete alisema wazi CCM ikiendelea kutegemea mapolisi kufanya siasa imekwisha.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Zipo njia mbili za kutuondolea mtanziko MBELENI.Subiri miaka miwili ya mwisho kuelekea 2025 ndiyo utajua ninacho kisema ....maisha yatazidi kuwa mabovu tz kufikia 2023 mwishoni uchumi utakuwa umekufa rasmi...