Rais Samia hawezi kufanya ‘effective reforms’ kwa sababu anautaka Urais

Nakumbuka Baba wa Taifa Mwal Nyerere, miaka ya 70, wabunge walitaka kujiongezea mishahara. Akasema: nchi hii masikini, mnaotaka wawape mishahara mikubwa ni wananchi masikini, watatoa wapi hizo hela za kuwapa...
100% upo sahihi… Anachoshindwa kutambua waliomzunguka wameshamjua anautaka urais sana sasa kila mmoja anampa ahadi za kufikirika akiahadi atawapa uteuzi watoto wa mjomba na shangazi hao watamsaidia kupiga kampeni 2025

Angetulia angejifunza mengi angempenda Mayor wa Ubungo kuliko Msemaji wa sirikdli…
 
Nakumbuka Baba wa Taifa Mwal Nyerere, miaka ya 70, wabunge walitaka kujiongezea mishahara. Akasema: nchi hii masikini, mnaotaka wawape mishahara mikubwa ni wananchi masikini, watatoa wapi hizo hela za kuwapa...
Ni mwendo wa kufunika kombe mwanaharamu apite
 
Nakumbuka Baba wa Taifa Mwal Nyerere, miaka ya 70, wabunge walitaka kujiongezea mishahara. Akasema: nchi hii masikini, mnaotaka wawape mishahara mikubwa ni wananchi masikini, watatoa wapi hizo hela za kuwapa...
Hakuna mwana CCM yeyote mwenye ubavu wa kumgomea Rais wa Jamuhuri ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM.

Itoshe kusema fomu itachapwa moja na Rais anayetetea nafasi ataichukua ili akamilishe vipindi vyake viwili.
 
Anaeweza maana alisema anaweza hata kama itagharimu Urais wake,so tusubiri tuone.
 
Kapoteza mvuto gani au wewe ndio ulikuwa mpenzi wa mambo ya hovyo ya awamu ile?

Mama anaupiga mwingi
Mambo ya hovyo unayo yasema ndiyo akili yenyewe ....tanzania tunataka viongozi ma dictator wazalendo ...siyo wahuni wauza ngada wa msoga na sa100 ambao kwao "UZALENDO NI MAVIII"
 
Mambo ya hovyo unayo yasema ndiyo akili yenyewe ....tanzania tunataka viongozi ma dictator wazalendo ...siyo wahuni wauza ngada wa msoga na sa100 ambao kwao "UZALENDO NI MAVIII"
Madikteta wazalendo wanaochinja wenzao? Kama bipi hamia Burundi huko ndio kuna mambo hayo.
 
Nakumbuka Baba wa Taifa Mwal Nyerere, miaka ya 70, wabunge walitaka kujiongezea mishahara. Akasema: nchi hii masikini, mnaotaka wawape mishahara mikubwa ni wananchi masikini, watatoa wapi hizo hela za kuwapa...
We need a break! Reform? Reform? Kwenye jeshi la polisi tumeona akiteua wauaji na wabambikiaji kesi kuwa viongozi.

Nonsense! Hakuna reform yoyote huyu opportunist anaweza kufanya! She is eyeing 2025 period! Kama huelewi muulize Ndugai!.

Kuna RC aliyekuwa ameteuliwa na sisi tukamuona ni SMART Dr Chegeni. Amemtengua! Anahitaji akina Sabaya na aina ya Sabaya walio upande wake! Trust me this is a SHE dracular in veil.
 
Nashauri askari wa usalama barabarani wapunguzwe, hah hah na wanapunguzwa ni pale mwanasiasa hata kama ni kanali mstaafu anapoingilia taaluma za wengi kwa msingi wa kisiasa...
Unakumbuka ile dhahabu iliyokamatwa Mwanza? Wale waliokamatwa nayo JPM aliwapeleka wapi maana aliwataja na majina baadhi yao.

Vipi kuhusu ile dhahabu iliyokamatwa Kenya ikalejeshwa tanzania kwa commisiob ya Rais Uhuru Kenyata? Wale watanzania waliokamatwa nayo Jpm aliwafanya nini? Mbona barabarani kulikuwa na askari wengi.

Tanzania ni zaidi uijuavyo.
 
Aa thubutu!! Hakika nakwambia 2025 hakutakuwa na mgombea mwingine wa CCM isipokuwa mama
 
Never,hawezi kamwe! Anateua akina Fatuma Mwasa???[emoji706][emoji706]
Fatuma Mwasa unamuona hafai kwa kuwa hajawahi kuhudumu eneo lenu.Huko Tabora raia wamesikitika kwa kuondoka kwake.Acheni wivu na chuki wakati mama zenu hata uenyekiti tu wa mtaa hawawezi.
 
Vipi kama Chegeni yeye mwenyewe ndiye aliyeomba kutoipokea hiyo nafasi,ulitaka Rais amlazimishe tu?.
 
Fatuma Mwasa unamuona hafai kwa kuwa hajawahi kuhudumu eneo lenu.Huko Tabora raia wamesikitika kwa kuondoka kwake.Acheni wivu na chuki wakati mama zenu hata uenyekiti tu wa mtaa hawawezi.
Hakuna mtu aliyezungumzia mama zetu,ni hivi,Fatuma Mwasa:
1. Amehudumu kuwa mkuu wa mikoa miaka mingi iliyopita,ni vyema akatulia,awe mshauri,ni kweli hakuna mtz Mwingine,au wengine wanaweza hiyo kazi?
2. Nchi sasa hivi inaendeshwa kwa Vimeo.
 
Hatogombea!!!!!! Maana hapatakuwa na UCHAGUZI 2025.
 
Hakuna mwana CCM yeyote mwenye ubavu wa kumgomea Rais wa Jamuhuri ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM.

Itoshe kusema fomu itachapwa moja na Rais anayetetea nafasi ataichukua ili akamilishe vipindi vyake viwili.
Vipindi viwili ni Kwa Rais aliyechaguliwa na wananchi.

Kwa sasa hawawezi zuia wagombea wengine kuchukua fomu,

Anyway, hatogombea maana hapatakuwa na Uchaguzi,

Tutakuwa ktk hatua za MWISHO kukamilisha mchakato wa KATIBA mpya itakayopatika 2026.
Ameeeen.
 
Umenena !! Ndani ya Ccm hata mimi simuoni mwingine yeyote badala yake !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…