Rais Samia hawezi kufanya ‘effective reforms’ kwa sababu anautaka Urais

Swali hapa ni anadhamira kiasi gani na je yuko tayari kuuweka rehani uraisi wake? Kila binadamu ana yake moyoni na kufanikiwa kunategemea wengine na jinsi unavyo waongoza. Gorbachev aliweza, mama anaweza pia kuweza.
 
Hakuna Rais duniani anayetaka kutoka madarakani kutokana na itifaki na matukufu anayopewa!!

hivyo Bimkubwa lazima ataendelea kuwa Rais baada ya uchaguzi 2025 ila mi naona atafanya zile reforms za kumsaidia yeye binafsi zisizo na madhara kwenye utawala wake na sio reforms za kusaidia nchi!!
 
Swali hapa ni anadhamira kiasi gani na je yuko tayari kuuweka rehani uraisi wake? Kila binadamu ana yake moyoni na kufanikiwa kunategemea wengine na jinsi unavyo waongoza. Gorbachev aliweza, mama anaweza pia kuweza.
aliweza na urais ukwa finito
 
Nachokiona ni baadhi kudhihirisha chuki zao tu,huyu Mama p1 na mapungufu yake lkn yule mchato amefanya upuuzi mwingi sana nchi hiii
 
Samia she's misfit to be the president.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Fafanua kidogo wananchi tuyapiganie maisha kivipi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…