Rais Samia hawezi Kumgusa Waziri Mwigulu Nchemba?



Labda kama kuwepo na Sababu nyingine lakini mgomo pekee wa wafanyabiasha Eti utake kumuondoa Waziri mwenye zamana naona si sawa.
Halafu Kwanini mnatakaga kukomoana?!
Zikiwapo hoja na Sababu nyingine zenye mashiko yamkini inaweza kueleweka Kwamba kwa sababu ile na ile lakini sio swala la mgomo wa wafanyabiashara pekee utake atolewe.
 


Kwanza hilo swala la mgomo wa wafanyabiashara limekaa kisiasa tu!
Kwa mtu au watu genuine kabisa wakisema wasimame kwenye haki na ukweli wa mambo hamna madai ya kiivyo Hasa pale.

Kwanza wengi hawasemi ukweli na haki.
Mifumo ikiwekwa Sawa ikachwa ufanye kazi wengi watarejesha flames kwa wamiliki wa majengo.
Tuseme ukweli tu bana tuache ushabiki maana tunajenga Taifa letu sote na vizazi vyetu.
 
Shukrani sana mkuu kwa haya madini uliyoporomosha hapa , kama Hali Iko hivyo , nchi hii inatisha sana .
Kwa mtindo huo inaweza kuwa mapato yanayoonekana kukusanywa vizuri, kumbe yangeweza kuwa zaidi ya hayo, mengineyo yanaishia kwa Viongozi.

Rushwa ya ngono kwa wafanyakazi wa kike ni hatari sana hasa wake za watu.

Aksante sana Chief bkwa very impressive input kwenye Uzi wangu.

Tusaidiane kupaza sauti kwa manufaa ya nchi yetu, tupaaze taarifa ovyo za ufisadi, najua upo jikoni, ndo maana umekuja na Datum za watu TRA namna WANAVYOPOMONDA Fedha.

Shukrani.🙏🙏🙏
 
Niguse ninuke

BM 2019
 
Achana na MATUKIO AMBAYO HUWEZI kuyaona KWA usahhi unaohitajika, endelea kutafuta pesa umalize lile ghorofa lako unaonekana wewe NI mjasiriamali. HAYA MATUKIO waachie WATU wengine
Who are you?? Acha vichekesho,wewe ndo uachane na mada ambazo huzielew.
 
Nani anafuata sheria Tanzania wewe kilaza?
Kuongozwa kwenye kazi kwa na taratibu za sheria ni swala moja, na wahusika kufuata sheria ni swala jingine.

Iła kwenye taratibu za kukusanya kodi kila siku waziri wa fedha, raisi, PM, Makamu wa raisi na mwingine yeyote unaemfikiria wewe nje ya hawana mkono;

TRA inafanya kazi kwa mijibu wa sheria mapungufu ya kiutendaji kwenye uhafifu ni mbinu mbovu za management upande wa HR ya TRA kwenye usimamizi.

Kwa kusikiliza sababu za mgomo wa wafanyabiashara hakuna mtu kwenye baraza la mawaziri anaweza tatua kiholela vile huwa wqnajiripokea tu kufurahisha kadamnasi na saa zingine kuchochea tatizo kwa kutoa kauli ambazo ni unrealistic kwa miongozo ya kazi TRA.

Shida kubwa zaidi ni kwenye sakata la kodi ni uelewa mdogo wa wafanyabiashara kwenye maswala ya kodi katika hesabu zao.
 
Chukua uipin juu katika uzi wako. Hali si hali. Nakupa nyingine
 
Ni kweli ana nguvu hizo, lakini kumbuka Kuna kocha na Kuna kiongozi wa timu
 
Mimi naona tatizo kuwa hapa ni Sheria ZETU, ndo MAANA waziri ana laumiwa. Mh waziri na timu ya ya wataalamu wa Kodi wazipitie upya hizo sheria. Huwezi kuondoa tatizo bila kuangalia sheria na kifanyia marekebisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…