Loosing grounds at tremendous speed!Huyu ni mtawala mbovu kuliko wote waliopita hapa Tz
Lilikuwa ni onyo la kula kwa kiwango sio kupitiliza ingawa wizi ni wizi tu.Lilikuwa ni onyo la tabia za kifisadi zilizoshamiri tangu 2010 to 2020 ambazo hazijawahi kuachwa. 2015 to 2020 hazikuzungumzwa tu ila zilikuwepo za kibabe. Hata hivyo ametoa onyo very weak. Tunahitaji mpango mkakati bora wa kudhibiti utendaji wa serikali.
Open mistake from our leader.Lilikuwa ni onyo la kula kwa kiwango sio kupitiliza ingawa wizi ni wizi tu.
Hizi ni kati ya kauli dhaifu kabisa kutamkwa na mkuu wa nchi. Madhara yake ni kuhalalisha ufisadi kwa urefu wa kamba ya mhusika. Very bad.Rais Samia, jana akiongea na mawaziri aliwaambia wajipimie ila wasivimbiwe tena mbele ya TV ya umma. Nilipigwa na butwaa ila nikahisi mambo yafuatayo.
1. Rais hajui kwamba mali anazowaambia mawaziri wajipimie ni za wananchi wanao msikiliza na kwamba wananchi wanataka alinde mali zetu kama kiapo kinavyomtaka?
2. Rais anajua hawezi shitakiwa hata kama atafanya lolote; hivyo kalewa madaraka.
Ushauri kwa rais; Hii kauli itolee ufafanuzi, huku mtaani kishanuka mno.
Hata hivyo mawaziri wapiga deal wanajulikana.
VEDIO HII HAPA
Hiyo video umesikiliza? Kwahiyo ndio awape maagizo wale vipi kweli? Kwamba kila mtu ale kwake na asivimbiwe? Tunajaribu kutetea nini? Ameyakoroga mengi ikiwemo la Spika na sasa anazidi kuyakoroga kwenye ufisadi.Lilikuwa ni onyo la tabia za kifisadi zilizoshamiri tangu 2010 to 2020 ambazo hazijawahi kuachwa. 2015 to 2020 hazikuzungumzwa tu ila zilikuwepo za kibabe.
Hata hivyo ametoa onyo very weak, ukisha amua kuweka udhaifu wa mtendaji wazi ni umemshtaki kwa jamii basi unatakiwa umuwajibishe, kinyume na hapo muite faragha muonye. Sasa hapa tunajua kuwa kuna mawaziri walafi ila wanatakiwa wajipime wenyewe.
Tunahitaji mpango mkakati bora wa kudhibiti utendaji wa serikali.
Katetewa wapi sasa hapo?Hiyo video umesikiliza? Kwahiyo ndio awape maagizo wale vipi kweli? Kwamba kila mtu ale kwake na asivimbiwe? Tunajaribu kutetea nini? Ameyakoroga mengi ikiwemo la Spika na sasa anazidi kuyakoroga kwenye ufisadi.
HebuUUUUuU ninong'oneze,hapa chatoo!Lilikuwa ni onyo la kula kwa kiwango sio kupitiliza ingawa wizi ni wizi tu.
Bora hata ya dikteta huyu kila kitu kipo juu mara 300%Loosing grounds at tremendous speed!
Ulikuwa unapunguza uzito wa maneno aliyotamka. Rudi kwenye andiko lakoKatetewa wapi sasa hapo?