Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hangaya hii video kaonesha ni Utopolo hatari hii ni laana ya NdugaiNi ujinga kutafuta kujifariji kwa kumtaka Rais arudi aje kudanganya uma kuwa ameeleweka vibaya.Huo ni utahira.Alichosema jana ndiyo msimamo wa serikali yake.View attachment 2080239
Tunavyopiga debe hapa kila siku kuwa CCM haifai kuongoza nchi hii we mean a business folks.
Kumbe wanafarijiana kwa pesa zetu wenyewe?JF Member unataka Rais atoe ufafanuzi gani tena wakati kwenye ile hotuba amesema kuwa ile kauli ni mara ya pili anaitoa?
Hii maana yake ni kwamba alichoongea jana wala hajateleza bali ndiyo msimamo wa serikali yake.View attachment 2080262
Ndiyo maana'ake!Ni sawa na Padre au shekhe aseme msifanye dhambi kupitiliza, fanyeni kwa kiasi!
Du hii mpya kweli kweli. Rais wangu if you leave the door open like that how are you going to control it, jipimie!!.JF Member unataka Rais atoe ufafanuzi gani tena wakati kwenye ile hotuba amesema kuwa ile kauli ni mara ya pili anaitoa?
Hii maana yake ni kwamba alichoongea jana wala hajateleza bali ndiyo msimamo wa serikali yake.View attachment 2080262
Duuh..Ni ujinga kutafuta kujifariji kwa kumtaka Rais arudi aje kudanganya uma kuwa ameeleweka vibaya.Huo ni utahira.Alichosema jana ndiyo msimamo wa serikali yake.View attachment 2080239
Tunavyopiga debe hapa kila siku kuwa CCM haifai kuongoza nchi hii we mean a business folks.
wakivimbiwa watajamba sana na hivyo kuchafua hali ya hewaRais Samia, jana akiongea na mawaziri aliwaambia wajipimie ila wasivimbiwe tena mbele ya TV ya umma. Nilipigwa na butwaa ila nikahisi mambo yafuatayo.
1. Rais hajui kwamba mali anazowaambia mawaziri wajipimie ni za wananchi wanao msikiliza na kwamba wananchi wanataka alinde mali zetu kama kiapo kinavyomtaka?
2. Rais anajua hawezi shitakiwa hata kama atafanya lolote; hivyo kalewa madaraka.
Ushauri kwa rais; Hii kauli itolee ufafanuzi, huku mtaani kishanuka mno.
Hata hivyo mawaziri wapiga deal wanajulikana.
VEDIO HII HAPA
Ndo mnajaribu kumtetea kwa namna hii kweli kazi ipoLilikuwa ni onyo la tabia za kifisadi zilizoshamiri tangu 2010 to 2020 ambazo hazijawahi kuachwa. 2015 to 2020 hazikuzungumzwa tu ila zilikuwepo za kibabe.
Hata hivyo ametoa onyo very weak, ukisha amua kuweka udhaifu wa mtendaji wazi ni umemshtaki kwa jamii basi unatakiwa umuwajibishe, kinyume na hapo muite faragha muonye. Sasa hapa tunajua kuwa kuna mawaziri walafi ila wanatakiwa wajipime wenyewe.
Tunahitaji mpango mkakati bora wa kudhibiti utendaji wa serikali.
katiba mjombaLilikuwa ni onyo la tabia za kifisadi zilizoshamiri tangu 2010 to 2020 ambazo hazijawahi kuachwa. 2015 to 2020 hazikuzungumzwa tu ila zilikuwepo za kibabe.
Hata hivyo ametoa onyo very weak, ukisha amua kuweka udhaifu wa mtendaji wazi ni umemshtaki kwa jamii basi unatakiwa umuwajibishe, kinyume na hapo muite faragha muonye. Sasa hapa tunajua kuwa kuna mawaziri walafi ila wanatakiwa wajipime wenyewe.
Tunahitaji mpango mkakati bora wa kudhibiti utendaji wa serikali.
Sijapunguza uzito wa maneno ila nina utaratibu wangu wa kumkosoa raisi wa nchi. Ameonyesha udhaifu kama amirijeshi mkuu kuwataka walafi wajitathimini wenyewe badala ya kuwawajibisha, still sina sababu ya kutumia maneno makali kutoa hoja yangu.Ulikuwa unapunguza uzito wa maneno aliyotamka. Rudi kwenye andiko lako
Lilikuwa ni onyo la tabia za kifisadi zilizoshamiri tangu 2010 to 2020 ambazo hazijawahi kuachwa. 2015 to 2020 hazikuzungumzwa tu ila zilikuwepo za kibabe.