Rais Samia, hii kauli ya kuwaruhusu Mawaziri wajipimie, wasivimbiwe itolee ufafanuzi tena

Rais Samia, hii kauli ya kuwaruhusu Mawaziri wajipimie, wasivimbiwe itolee ufafanuzi tena

Jiwe Alisema Rushwa Kwa Askari Ni Pesa Ya Ku~Brush
Hangaya Naye Atakuwa Na Kuvimbiwa
 
Chief hangaya ,ameshalewa madaraka, anaongeza Kwa zarau sn.
Hii ni kutokana ubovu wa katiba yetu ya ss.
Samia anawaza uraisi 2025, na sio maendeleo ya Taifa.

Amehalalisha rushwa kupitia TV ya Taifa.
Ameonekana ni zahifu Sana,
Empty set
 
Jiwe Alisema Rushwa Kwa Askari Ni Pesa Ya Ku~Brush
Hangaya Naye Atakuwa Na Kuvimbiwa
Mie naona kwamba mfumo wa uendeshaji serikali Tz na katiba mbovu ndo imeruhusu mambo haya na Mama anatuambia ' ukweli mchungu'.....bila overhaul ni kazi kwelikweli.
 
Kama ndio mtazamo wake kuhusu mawaziri na manaibu kuwa wasigombane kaa kuwa kila mtu ameteuliwa kwa sifa zake ni kama amesema manaibu wasiwasikilize mawaziri!! Katika haki ya kawaida, naibu anapangiwa kazi na waziri!!

Tumerudi kulekule - kila kiongozi kujiona ndio yeye!!

Hatuna tena uongozi!!
 
Back
Top Bottom