Rais Samia, hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyoiuza kwa DP World ni hii hii The United Republic of Tanzania? (Angalia kifungu nilichoweka)


 
Sasa kama vp si atupe tugawane izo pesa bac mwambie asizikalie peke yake
 
Mungu awabariki hao huko Mbeya walioenda mahakamani kupinga huu mkataba.
 
Umeelewa ulichotafsiri?
 
Kama sio mwanasheria utasimbuliwa na hicho kitu

Ila kwa Wanasheria tunaojua maana ya judicial notice hapo tunakuona mjinga tu ambaye huna hoja na unapuyanga tu
Wanasgeria gani?! Wale waliopigwa maswali na mawakili wa Indiana majuzi hadi wakaloa sehemu za siri?! Tena ficha aibu yako, tena usirudie kujiita mwanasheria humu.
 
Kama sio mwanasheria utasimbuliwa na hicho kitu

Ila kwa Wanasheria tunaojua maana ya judicial notice hapo tunakuona mjinga tu ambaye huna hoja na unapuyanga tu
Hakuna cha judicial notice hapo, MAUSHUNGI KABORONGA, akwende zake huko atuachie ardhi yetu ya Tanganyika.
 
Matusi ni dalili ya kuishiwa hoja
Stop trolling dude if you have nothing to contribute zaidi ya ushabiki wa Simba na Yanga. Hii tabia ya kushabikia jambo wakati ukweli na common sense says the opposite ni Wapumbavu tu wanayo.
 
"... Objective of this Agreement is to set a LEGALLY BINDING FRAMEWORK..."

Halafu mjinga mmoja anasikika baada ya kushiba ugali wa dona: "haya ni Makubaliano tu hayana athari yoyote kisheria, HGA ndiyo itarekebisha mambo yote". 😎

-Kaveli-
 
Bado natafuta mauziano siijaona. Wewe umeona hapo?
Unajua maana ya neno operations? Na je umesoma huo mkataba ukaona na vipengele vingine?
 
Mkataba wa bandari umeibua wanasheria wa vichochoroni, kila mtu anajua kuchambua vifungu vya kisheria.

Wapishi wengi huharibu mboga, cha muhimu ni serikali kufunga huu mjadala na kuendelea na uwekezaji.

Nchi hii maskini inapoteza fursa kwenye mijadala huku ikishindwa kufaidika na faida za kijiografia alizotujalia Mungu.
 
Nadhani waliandika wakiwa ndani ya ndege wakiwahi Dubhai, vinginevyo waarabu wametapeliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…