Rais Samia, hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyoiuza kwa DP World ni hii hii The United Republic of Tanzania? (Angalia kifungu nilichoweka)

Mimi ni mbobezi kweli! Ndo mana hoja zangu humu hazijibiwi watu wanaishia kutukana tu

IMG_1518.jpg
 
Tatizo ni lugha tu.

SEHEMU YA PILI WAJIBU WA JUMLA KIFUNGU2 LENGO LA MKATABA

Madhumuni ya Mkataba huu ni kuweka mfumo unaofunga kisheria wa maeneo ya ushirikiano kwa ajili ya maendeleo, uboreshaji, usimamizi na uendeshaji wa bandari za bahari na ziwa, kanda maalum za kiuchumi, mbuga za usafirishaji, ukanda wa biashara na miundombinu mingine ya kimkakati ya bandari nchini Tanzania.

Maeneo ya ushirikiano pia yanajumuisha kujenga uwezo, uhamisho wa ujuzi, ujuzi na teknolojia, kuimarisha taasisi za mafunzo na msaada wa akili wa soko.

IMG_1518.jpg
 
Mungu awabariki hao huko Mbeya walioenda mahakamani kupinga huu mkataba.
 
Tatizo ni lugha tu.

SEHEMU YA PILI WAJIBU WA JUMLA KIFUNGU2 LENGO LA MKATABA

Madhumuni ya Mkataba huu ni kuweka mfumo unaofunga kisheria wa maeneo ya ushirikiano kwa ajili ya maendeleo, uboreshaji, usimamizi na uendeshaji wa bandari za bahari na ziwa, kanda maalum za kiuchumi, mbuga za usafirishaji, ukanda wa biashara na miundombinu mingine ya kimkakati ya bandari nchini Tanzania.

Maeneo ya ushirikiano pia yanajumuisha kujenga uwezo, uhamisho wa ujuzi, ujuzi na teknolojia, kuimarisha taasisi za mafunzo na msaada wa akili wa soko.
Umeelewa ulichotafsiri?
 
Kama sio mwanasheria utasimbuliwa na hicho kitu

Ila kwa Wanasheria tunaojua maana ya judicial notice hapo tunakuona mjinga tu ambaye huna hoja na unapuyanga tu
Wanasgeria gani?! Wale waliopigwa maswali na mawakili wa Indiana majuzi hadi wakaloa sehemu za siri?! Tena ficha aibu yako, tena usirudie kujiita mwanasheria humu.
 
Kama sio mwanasheria utasimbuliwa na hicho kitu

Ila kwa Wanasheria tunaojua maana ya judicial notice hapo tunakuona mjinga tu ambaye huna hoja na unapuyanga tu
Hakuna cha judicial notice hapo, MAUSHUNGI KABORONGA, akwende zake huko atuachie ardhi yetu ya Tanganyika.
 
Matusi ni dalili ya kuishiwa hoja
Stop trolling dude if you have nothing to contribute zaidi ya ushabiki wa Simba na Yanga. Hii tabia ya kushabikia jambo wakati ukweli na common sense says the opposite ni Wapumbavu tu wanayo.
 
"... Objective of this Agreement is to set a LEGALLY BINDING FRAMEWORK..."

Halafu mjinga mmoja anasikika baada ya kushiba ugali wa dona: "haya ni Makubaliano tu hayana athari yoyote kisheria, HGA ndiyo itarekebisha mambo yote". 😎

-Kaveli-
 
Bado natafuta mauziano siijaona. Wewe umeona hapo?
Unajua maana ya neno operations? Na je umesoma huo mkataba ukaona na vipengele vingine?
 
Kwa mujibu wa kipengele hiki kilichopo kwenye IGA kati ya Tanzania na Dubai Ports kuna nchi inayoitwa "Tanzania" ambayo Rais Samia ameuza special economic areas zake zote kwa DP World.
View attachment 2702883

Sasa naomba kukuuliza Rais Samia. Hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyouza operations zote za special economic zones including land, Water and Air space kwa Dubai Ports. Je, ni hii hii inayoitwa The United Republic of Tanzania?

Nikuulize swali la mwisho. Uliposaini huu mkataba ulikuwa unajua unachokifanya?
Mkataba wa bandari umeibua wanasheria wa vichochoroni, kila mtu anajua kuchambua vifungu vya kisheria.

Wapishi wengi huharibu mboga, cha muhimu ni serikali kufunga huu mjadala na kuendelea na uwekezaji.

Nchi hii maskini inapoteza fursa kwenye mijadala huku ikishindwa kufaidika na faida za kijiografia alizotujalia Mungu.
 
Kwa mujibu wa kipengele hiki kilichopo kwenye IGA kati ya Tanzania na Dubai Ports kuna nchi inayoitwa "Tanzania" ambayo Rais Samia ameuza special economic areas zake zote kwa DP World.
View attachment 2702883

Sasa naomba kukuuliza Rais Samia. Hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyouza operations zote za special economic zones including land, Water and Air space kwa Dubai Ports. Je, ni hii hii inayoitwa The United Republic of Tanzania?

Nikuulize swali la mwisho. Uliposaini huu mkataba ulikuwa unajua unachokifanya?
Nadhani waliandika wakiwa ndani ya ndege wakiwahi Dubhai, vinginevyo waarabu wametapeliwa.
 
Back
Top Bottom