Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Nyanoko.Ameiuzaje? Shilingi ngapi? Makabidhiano yanafanyika lini? Kwa utaratibu upi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyanoko.Ameiuzaje? Shilingi ngapi? Makabidhiano yanafanyika lini? Kwa utaratibu upi?
Mimi ni mbobezi kweli! Ndo mana hoja zangu humu hazijibiwi watu wanaishia kutukana tu
Tatizo ni lugha tu.
SEHEMU YA PILI WAJIBU WA JUMLA KIFUNGU2 LENGO LA MKATABA
Madhumuni ya Mkataba huu ni kuweka mfumo unaofunga kisheria wa maeneo ya ushirikiano kwa ajili ya maendeleo, uboreshaji, usimamizi na uendeshaji wa bandari za bahari na ziwa, kanda maalum za kiuchumi, mbuga za usafirishaji, ukanda wa biashara na miundombinu mingine ya kimkakati ya bandari nchini Tanzania.
Maeneo ya ushirikiano pia yanajumuisha kujenga uwezo, uhamisho wa ujuzi, ujuzi na teknolojia, kuimarisha taasisi za mafunzo na msaada wa akili wa soko.
Umeelewa ulichotafsiri?Tatizo ni lugha tu.

Umeelewa ulichotafsiri?
Bado natafuta mauziano siijaona. Wewe umeona hapo?Umeelewa ulichotafsiri?
Wanasgeria gani?! Wale waliopigwa maswali na mawakili wa Indiana majuzi hadi wakaloa sehemu za siri?! Tena ficha aibu yako, tena usirudie kujiita mwanasheria humu.Kama sio mwanasheria utasimbuliwa na hicho kitu
Ila kwa Wanasheria tunaojua maana ya judicial notice hapo tunakuona mjinga tu ambaye huna hoja na unapuyanga tu
Hakuna cha judicial notice hapo, MAUSHUNGI KABORONGA, akwende zake huko atuachie ardhi yetu ya Tanganyika.Kama sio mwanasheria utasimbuliwa na hicho kitu
Ila kwa Wanasheria tunaojua maana ya judicial notice hapo tunakuona mjinga tu ambaye huna hoja na unapuyanga tu
Hakuna cha judicial notice hapo, MAUSHUNGI KABORONGA, akwende zake huko atuachie ardhi yetu ya Tanganyika.
Stop trolling dude if you have nothing to contribute zaidi ya ushabiki wa Simba na Yanga. Hii tabia ya kushabikia jambo wakati ukweli na common sense says the opposite ni Wapumbavu tu wanayo.Matusi ni dalili ya kuishiwa hoja
Mwaka huu mwarabu atawatafuna vinyeo.Maushungi ndo nani?
Akuachie ardhi wewe na nani? Kama nani?
Ulipaswa uweke hapa hivyo vipengele vingine vinavyoonesha bandari imeuzwa. Otherwise hizo ni story za vijiwe vya kahawa.Unajua maana ya neno operations? Na je umesoma huo mkataba ukaona na vipengele vingine?
Mkataba wa bandari umeibua wanasheria wa vichochoroni, kila mtu anajua kuchambua vifungu vya kisheria.Kwa mujibu wa kipengele hiki kilichopo kwenye IGA kati ya Tanzania na Dubai Ports kuna nchi inayoitwa "Tanzania" ambayo Rais Samia ameuza special economic areas zake zote kwa DP World.
View attachment 2702883
Sasa naomba kukuuliza Rais Samia. Hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyouza operations zote za special economic zones including land, Water and Air space kwa Dubai Ports. Je, ni hii hii inayoitwa The United Republic of Tanzania?
Nikuulize swali la mwisho. Uliposaini huu mkataba ulikuwa unajua unachokifanya?
Wajuaji wengi sana JF, kila mwenye kuweza kuanzisha mada anaianzisha hata kama ni upunguani mtupu.Ameiuzaje? Shilingi ngapi? Makabidhiano yanafanyika lini? Kwa utaratibu upi?
Nadhani waliandika wakiwa ndani ya ndege wakiwahi Dubhai, vinginevyo waarabu wametapeliwa.Kwa mujibu wa kipengele hiki kilichopo kwenye IGA kati ya Tanzania na Dubai Ports kuna nchi inayoitwa "Tanzania" ambayo Rais Samia ameuza special economic areas zake zote kwa DP World.