Mie ni muislam,ila penye ukweli usemwe.kuna ubaya gani watu wakishauri jambo lenye tija kwa taifa letu? Raisi ni taasisi na anawatu wengi wanaojua sheria,Mama samia awaite wale wote wanaopinga wawachague wanasheria wao.na wanasheria wengine wakae kutetea hoja zao. Raisi yeye awe msikilizaji tu.mwenyekiti wa hicho kikao awe kabudiChuki kwa waislamu zitawamaliza
Muongo mwNDAMIZIKwa mujibu wa kipengele hiki kilichopo kwenye IGA kati ya Tanzania na Dubai Ports kuna nchi inayoitwa "Tanzania" ambayo Rais Samia ameuza special economic areas zake zote kwa DP World.
View attachment 2702883
Sasa naomba kukuuliza Rais Samia. Hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyouza operations zote za special economic zones including land, Water and Air space kwa Dubai Ports. Je, ni hii hii inayoitwa The United Republic of Tanzania?
Nikuulize swali la mwisho. Uliposaini huu mkataba ulikuwa unajua unachokifanya?
Naona mko wawili tu ONJO, Lord denning na si muda mrefu atakuja FaizaFoxy
Mimi naamini nyie ni viongozi waandamizi huko CCM. Na siamini kama hamna akili. Kama vichwa vyenu ni timamu kwelikweli, sasa shida iko wapi? Kuna ugumu gani kwani kukubali kuwa mmekosea?
Nchi hii imesaini IGA ngapi kwani? Kwanini hii inaleta shida na mjadala hatari kama huu? Ni wazi kuwa lipo tatizo!!
Muungwana akivuliwa nguo, basi huchutama ili kuficha uchi wake!!.
Ninyi mna akili gani? Mbona mnaendelea kutembea mkiwa uchi hivyo hivyo bila hata kuona aibu? Au mmewehuka aisee?
Kama ni wehu, basi nchi hii haiwezi kuongozwa na wehu tena..!
Google maana ya judicial notice acha uvivuFafanua sasa tujifunze kwako ..acha majigambo
Lini Tanzania ilipata Uhuru?
Mmekosea kila kitu, kuanzia;Tukiri tumekosea nini? Kuna kitu gani kimekosewa?
Mwanasheria uchwaraKama sio mwanasheria utasimbuliwa na hicho kitu
Ila kwa Wanasheria tunaojua maana ya judicial notice hapo tunakuona mjinga tu ambaye huna hoja na unapuyanga tu
Unadhani hii nchi ni ya wanasheria ?Kama sio mwanasheria utasimbuliwa na hicho kitu
Ila kwa Wanasheria tunaojua maana ya judicial notice hapo tunakuona mjinga tu ambaye huna hoja na unapuyanga tu
Hivi wewe unajua kuwa scope ya mnachoita agreements (Sijui kama Bunge huwa linajadili agreements) imetamka kuwa mwekezaji yupo huru kuchukua aneo lolote lile analoona lina maslahi ndani ya Tanganyika na serikali imelazimishwa kuhakikisha hilo linatendeka kwa haraka? Kwa ufupi anao uwezo hata wa kuichukua Kariakoo na kufanya eneo lake la uwekezaji na mbaya zaidi amejiwekea scope ya kuingiza kampuni yoyote nyingine ifanye kazi kwa niaba. Hivi mtu timamu unaenda kusaini mkataba wa kuiuza nchi halafu unasema tusijadili!
Soma vizuri scope usiishie kuambiwa zimeuzwa BANDARI ZOTENiseme uelewa wa sheria ni mdogo sana. Na wengi ni wajuaji. Itoshe kusema hayo. Hiyo statement ni general sana. Ukiulizwa ni ziwa gani limeuzwa huna cha kujibu.
Mie ni muislam,ila penye ukweli usemwe.kuna ubaya gani watu wakishauri jambo lenye tija kwa taifa letu? Raisi ni taasisi na anawatu wengi wanaojua sheria,Mama samia awaite wale wote wanaopinga wawachague wanasheria wao.na wanasheria wengine wakae kutetea hoja zao. Raisi yeye awe msikilizaji tu.mwenyekiti wa hicho kikao awe kabudi