Rais Samia, hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyoiuza kwa DP World ni hii hii The United Republic of Tanzania? (Angalia kifungu nilichoweka)

Rais Samia, hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyoiuza kwa DP World ni hii hii The United Republic of Tanzania? (Angalia kifungu nilichoweka)

Chuki kwa waislamu zitawamaliza
Mie ni muislam,ila penye ukweli usemwe.kuna ubaya gani watu wakishauri jambo lenye tija kwa taifa letu? Raisi ni taasisi na anawatu wengi wanaojua sheria,Mama samia awaite wale wote wanaopinga wawachague wanasheria wao.na wanasheria wengine wakae kutetea hoja zao. Raisi yeye awe msikilizaji tu.mwenyekiti wa hicho kikao awe kabudi
 
Kwa mujibu wa kipengele hiki kilichopo kwenye IGA kati ya Tanzania na Dubai Ports kuna nchi inayoitwa "Tanzania" ambayo Rais Samia ameuza special economic areas zake zote kwa DP World.
View attachment 2702883

Sasa naomba kukuuliza Rais Samia. Hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyouza operations zote za special economic zones including land, Water and Air space kwa Dubai Ports. Je, ni hii hii inayoitwa The United Republic of Tanzania?

Nikuulize swali la mwisho. Uliposaini huu mkataba ulikuwa unajua unachokifanya?
Muongo mwNDAMIZI
 
Tukiri tumekosea nini? Kuna kitu gani kimekosewa?
Naona mko wawili tu ONJO, Lord denning na si muda mrefu atakuja FaizaFoxy

Mimi naamini nyie ni viongozi waandamizi huko CCM. Na siamini kama hamna akili. Kama vichwa vyenu ni timamu kwelikweli, sasa shida iko wapi? Kuna ugumu gani kwani kukubali kuwa mmekosea?

Nchi hii imesaini IGA ngapi kwani? Kwanini hii inaleta shida na mjadala hatari kama huu? Ni wazi kuwa lipo tatizo!!

Muungwana akivuliwa nguo, basi huchutama ili kuficha uchi wake!!.

Ninyi mna akili gani? Mbona mnaendelea kutembea mkiwa uchi hivyo hivyo bila hata kuona aibu? Au mmewehuka aisee?

Kama ni wehu, basi nchi hii haiwezi kuongozwa na wehu tena..!
 
Tukiri tumekosea nini? Kuna kitu gani kimekosewa?
Mmekosea kila kitu, kuanzia;

1. Mchakato wenyewe wa kumleta huyu anayeitwa mwekezaji lakini ukweli ni kuwa, huyu ni mpewa mali asili zetu (bandari zote) za Watanganyika...

2. Draft ya mkataba/makubaliano yote ni uchafu mtupu..

3. Intents & contents za mkataba..

Yaani everything is absolute rubbish...!!
 
Kuna mahali niliandika mwanzoni mwa uibukaji wa sakata hili kuwa Kuna dalili ya "kujitapeli"
 
Kama sio mwanasheria utasimbuliwa na hicho kitu

Ila kwa Wanasheria tunaojua maana ya judicial notice hapo tunakuona mjinga tu ambaye huna hoja na unapuyanga tu
Unadhani hii nchi ni ya wanasheria ?

Kama contract / Makubaliano hayaeleweki kwa wadau wakuu ambao ni kama huyu mdau (kwa kosa la technicalities) nadhani kosa sio lake bali la wale ambao ilibidi wamueleweshe na akubali kwanza kabla ya kuingia makubaliano kwa niaba yake...

Haya mambo sio rahisi kama wapuuzi hawa wanavyoyapeleka, Hata kama jambo ni zuri kiasi gani kuburuzana mwisho wa siku ni kuleta machafuko na kupiga hatua nyuma... Mambo yangeenda kwama yalivyozoeleka watu kutangaza tender na utaratibu wote sidhani kama sasa hivi tungekuwa tunatumia kodi zetu na rasilimali muda ili kutetea kitu ambacho hata watetezi hawajaona all the pieces (ambazo zitakuwa SIRI)
 
Hujasoma ila unatumia akili za kuambiwa...

Weka hicho kifungu hapa tukusaidie maana HUJASOMA HIYO DOCUMENT YENYEWE

Hivi wewe unajua kuwa scope ya mnachoita agreements (Sijui kama Bunge huwa linajadili agreements) imetamka kuwa mwekezaji yupo huru kuchukua aneo lolote lile analoona lina maslahi ndani ya Tanganyika na serikali imelazimishwa kuhakikisha hilo linatendeka kwa haraka? Kwa ufupi anao uwezo hata wa kuichukua Kariakoo na kufanya eneo lake la uwekezaji na mbaya zaidi amejiwekea scope ya kuingiza kampuni yoyote nyingine ifanye kazi kwa niaba. Hivi mtu timamu unaenda kusaini mkataba wa kuiuza nchi halafu unasema tusijadili!
 
Niseme uelewa wa sheria ni mdogo sana. Na wengi ni wajuaji. Itoshe kusema hayo. Hiyo statement ni general sana. Ukiulizwa ni ziwa gani limeuzwa huna cha kujibu.
Soma vizuri scope usiishie kuambiwa zimeuzwa BANDARI ZOTE
 

Attachments

  • Screenshot_20230730-150803_Adobe Acrobat.jpg
    Screenshot_20230730-150803_Adobe Acrobat.jpg
    145.6 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230730-150914_Adobe Acrobat.jpg
    Screenshot_20230730-150914_Adobe Acrobat.jpg
    227.8 KB · Views: 2
Mie ni muislam,ila penye ukweli usemwe.kuna ubaya gani watu wakishauri jambo lenye tija kwa taifa letu? Raisi ni taasisi na anawatu wengi wanaojua sheria,Mama samia awaite wale wote wanaopinga wawachague wanasheria wao.na wanasheria wengine wakae kutetea hoja zao. Raisi yeye awe msikilizaji tu.mwenyekiti wa hicho kikao awe kabudi

Ni sawa, ila chuki na ubaguzi wa rangi especially kwa waarabu na waislamu kwa ujumla, hili ndio tatizo, je! Wangelikua wazungu au wachina wangepiga kelele???
 
Back
Top Bottom