Naona mko wawili tu
ONJO,
Lord denning na si muda mrefu atakuja
FaizaFoxy
Mimi naamini nyie ni viongozi waandamizi huko CCM. Na siamini kama hamna akili. Kama vichwa vyenu ni timamu kwelikweli, sasa shida iko wapi? Kuna ugumu gani kwani kukubali kuwa mmekosea?
Nchi hii imesaini IGA ngapi kwani? Kwanini hii inaleta shida na mjadala hatari kama huu? Ni wazi kuwa lipo tatizo!!
Muungwana akivuliwa nguo, basi huchutama ili kuficha uchi wake!!.
Ninyi mna akili gani? Mbona mnaendelea kutembea mkiwa uchi hivyo hivyo bila hata kuona aibu? Au mmewehuka aisee?
Kama ni wehu, basi nchi hii haiwezi kuongozwa na wehu tena..!