Rais Samia, hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyoiuza kwa DP World ni hii hii The United Republic of Tanzania? (Angalia kifungu nilichoweka)

Hawana hoja. Wanapuyanga tu
Mwacheni samia wetu achape kazi bwana kila siku mambo yale yale mnaandika.Badala ya kushauri nini kifanyike mnalaumu tu ''hata lini mtaendelea kulaumu ?Jueni kwamba dakika 90 bado hazijaisha ni swala la mda tu samia atang'ara.
 
Kwa mujibu wa kipengele hiki kilichopo kwenye IGA kati ya Tanzania na Dubai Ports kuna nchi inayoitwa "Tanzania" ambayo Rais Samia ameuza special economic areas zake zote kwa DP World.
View attachment 2702883

Sasa naomba kukuuliza Rais Samia. Hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyouza operations zote za special economic zones including land, Water and Air space kwa Dubai Ports. Je, ni hii hii inayoitwa The United Republic of Tanzania?

Nikuulize swali la mwisho. Uliposaini huu mkataba ulikuwa unajua unachokifanya?
Samia Hata haelewi alisaini kitu gani, unamchosha bure.

SHERIA ni mweupe kichwani. Huenda Hata kirefu cha IGA Hajui. Mambo ya Trap na Trat
 
sheria ni nyingi sana znamchanganya ndio shida ya kuamini sheria.Mpaka sasa mataifa yote duniani hayana uhuru yote yanawasiwasi tena wa kupoteza.Akina nyerere waliigawa dunia yani dunia ya weusi (AU)na dunia ya weupe (EU).Jambo hilo linathbitisha kabisa kwamba nchi zote hazna uhuru.
 
Mwacheni samia wetu achape kazi bwana kila siku mambo yale yale mnaandika.Badala ya kushauri nini kifanyike mnalaumu tu ''hata lini mtaendelea kulaumu ?Jueni kwamba dakika 90 bado hazijaisha ni swala la mda tu samia atang'ara.
Waache hivyo hivyo
 
Kwa mujibu wa kipengele hiki kilichopo kwenye IGA kati ya Tanzania na Dubai Ports kuna nchi inayoitwa "Tanzania" ambayo Rais Samia ameuza special economic areas zake zote kwa DP World.
View attachment 2702883

Sasa naomba kukuuliza Rais Samia. Hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyouza operations zote za special economic zones including land, Water and Air space kwa Dubai Ports. Je, ni hii hii inayoitwa The United Republic of Tanzania?

Nikuulize swali la mwisho. Uliposaini huu mkataba ulikuwa unajua unachokifanya?
we ni kilaza tu katafute nchi yako km nchi hii hata jina huifahamu.
 
Wewe acha maswali ya kijinga!
Samia alipoenda Dubai kusaini huo mkataba alitujulisha ?!
Mbona alienda kimya kimya!

Akimaliza Urais wake 2025 anaweza kwenda kuishi Dubai yeye na akina Mbarawa ila sisi hatuna pa kwenda!

Watu wenye akili wanapozungumza kaa mbali au nenda kamsikilize Wassira na Sofia Mjema ndo level zako na CCM yetu!
We sema tu kauzaje?
Bei gani?
Wamekabidhiana lini na kivipi?
 
Wewe mwehu, Kwaiyo wewe ndiyo unajua sana sheria kuliko Isa Shivji,Tundu Lissu na Dr Lugemeleza Nshala!!
Huoni ata aibu,kama mmekula Hela ya Mwarabu jiandaeni kuliwa!
Shivji siyo sheria na hajui kila kitu, kuna watanzania very smart wanaoijua sheria kuliko yule babu tofauti ni kwamba yeye amekuwa tu maarufu kwasababu ni wa siku nyingi na ameshirikishwa na serikali ktk mambo kadhaa. Hao wengine wote uliowataja ni vibaraka hawawazidi watanzania wengine kujua sheria
 
Kwa mujibu wa kipengele hiki kilichopo kwenye IGA kati ya Tanzania na Dubai Ports kuna nchi inayoitwa "Tanzania" ambayo Rais Samia ameuza special economic areas zake zote kwa DP World.
View attachment 2702883

Sasa naomba kukuuliza Rais Samia. Hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyouza operations zote za special economic zones including land, Water and Air space kwa Dubai Ports. Je, ni hii hii inayoitwa The United Republic of Tanzania?

Nikuulize swali la mwisho. Uliposaini huu mkataba ulikuwa unajua unachokifanya?
Kwanza we hii nchi inayoitwa Tanzania huifahamu na siyo kwenu, we nenda katafute huyo marehemu wako anayeitwa Tanganyika uhamie huko.
 
Back
Top Bottom