Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Kama mimi kilaza basi dunia nzima ni vilaza ukiwemo weweSiku hizi wanasheria wapo wangi na vilaza kama ww mpo wengi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mimi kilaza basi dunia nzima ni vilaza ukiwemo weweSiku hizi wanasheria wapo wangi na vilaza kama ww mpo wengi tu
Una uhakika alisaini Yeye?Mkuu, mwenyekiti wako unakubali kuwa alisaini kitu asichokuwa na uelewa nacho?
Mwehuwasomi hatulaumu kilichopita bali tunajivunia tulichonacho yajayo ni majaliwa ya mungu.
Mwacheni samia wetu achape kazi bwana kila siku mambo yale yale mnaandika.Badala ya kushauri nini kifanyike mnalaumu tu ''hata lini mtaendelea kulaumu ?Jueni kwamba dakika 90 bado hazijaisha ni swala la mda tu samia atang'ara.
Samia Hata haelewi alisaini kitu gani, unamchosha bure.Kwa mujibu wa kipengele hiki kilichopo kwenye IGA kati ya Tanzania na Dubai Ports kuna nchi inayoitwa "Tanzania" ambayo Rais Samia ameuza special economic areas zake zote kwa DP World.
View attachment 2702883
Sasa naomba kukuuliza Rais Samia. Hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyouza operations zote za special economic zones including land, Water and Air space kwa Dubai Ports. Je, ni hii hii inayoitwa The United Republic of Tanzania?
Nikuulize swali la mwisho. Uliposaini huu mkataba ulikuwa unajua unachokifanya?
kwahyo umekaa umefikiri ukaona hilo ndio tus linalonifaa 'nakwambia samia atang'araMwehu
Wehu wotekwahyo umekaa umefikiri ukaona hilo ndio tus linalonifaa 'nakwambia samia atang'ara
Lilishuhudiwa na nani?Hili ni lake
sheria ni nyingi sana znamchanganya ndio shida ya kuamini sheria.Mpaka sasa mataifa yote duniani hayana uhuru yote yanawasiwasi tena wa kupoteza.Akina nyerere waliigawa dunia yani dunia ya weusi (AU)na dunia ya weupe (EU).Jambo hilo linathbitisha kabisa kwamba nchi zote hazna uhuru.Samia Hata haelewi alisaini kitu gani, unamchosha bure.
SHERIA ni mweupe kichwani. Huenda Hata kirefu cha IGA Hajui. Mambo ya Trap na Trat
Waache hivyo hivyoMwacheni samia wetu achape kazi bwana kila siku mambo yale yale mnaandika.Badala ya kushauri nini kifanyike mnalaumu tu ''hata lini mtaendelea kulaumu ?Jueni kwamba dakika 90 bado hazijaisha ni swala la mda tu samia atang'ara.
we ni kilaza tu katafute nchi yako km nchi hii hata jina huifahamu.Kwa mujibu wa kipengele hiki kilichopo kwenye IGA kati ya Tanzania na Dubai Ports kuna nchi inayoitwa "Tanzania" ambayo Rais Samia ameuza special economic areas zake zote kwa DP World.
View attachment 2702883
Sasa naomba kukuuliza Rais Samia. Hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyouza operations zote za special economic zones including land, Water and Air space kwa Dubai Ports. Je, ni hii hii inayoitwa The United Republic of Tanzania?
Nikuulize swali la mwisho. Uliposaini huu mkataba ulikuwa unajua unachokifanya?
zawad yako na ibak kwako mwenyewe sijafundishwa kutkana ila kutkanwa hyo haiumi.Wehu wote
We sema tu kauzaje?Wewe acha maswali ya kijinga!
Samia alipoenda Dubai kusaini huo mkataba alitujulisha ?!
Mbona alienda kimya kimya!
Akimaliza Urais wake 2025 anaweza kwenda kuishi Dubai yeye na akina Mbarawa ila sisi hatuna pa kwenda!
Watu wenye akili wanapozungumza kaa mbali au nenda kamsikilize Wassira na Sofia Mjema ndo level zako na CCM yetu!
Kwa katiba hii hii!Kwa mkataba huu.
CCM tafuteni mgombea 2025.
No way out!!!
Mama hauziki Hata kwa Wizi wa kura.
Shivji siyo sheria na hajui kila kitu, kuna watanzania very smart wanaoijua sheria kuliko yule babu tofauti ni kwamba yeye amekuwa tu maarufu kwasababu ni wa siku nyingi na ameshirikishwa na serikali ktk mambo kadhaa. Hao wengine wote uliowataja ni vibaraka hawawazidi watanzania wengine kujua sheriaWewe mwehu, Kwaiyo wewe ndiyo unajua sana sheria kuliko Isa Shivji,Tundu Lissu na Dr Lugemeleza Nshala!!
Huoni ata aibu,kama mmekula Hela ya Mwarabu jiandaeni kuliwa!
Wewe jamaa ni mbishiWageni gani wamerithishwa sehemu ya nchi yetu? Wamerithishwaje?
Kwanza we hii nchi inayoitwa Tanzania huifahamu na siyo kwenu, we nenda katafute huyo marehemu wako anayeitwa Tanganyika uhamie huko.Kwa mujibu wa kipengele hiki kilichopo kwenye IGA kati ya Tanzania na Dubai Ports kuna nchi inayoitwa "Tanzania" ambayo Rais Samia ameuza special economic areas zake zote kwa DP World.
View attachment 2702883
Sasa naomba kukuuliza Rais Samia. Hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyouza operations zote za special economic zones including land, Water and Air space kwa Dubai Ports. Je, ni hii hii inayoitwa The United Republic of Tanzania?
Nikuulize swali la mwisho. Uliposaini huu mkataba ulikuwa unajua unachokifanya?
Hahahaha sio ubishi. Nakataa upotoshajiWewe jamaa ni mbishi