Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole,lakini nakwambia hawa wataku prove wrongTukubali kwamba hii ni Wizara ambayo waliowekwa ni watu misheni town tu.
Nimesikiliza hata huyo anayeitwa Maharage Chande ni aibu tu. Yaani anahangaika na gharama za kuunganisha umeme! Hizo gharama zinaleta faida ktk shirika?
Yeye anatakiwa azalishe na kuuza umeme kwa faida badala ya kuhangaika na kuunganisha kwa gharama kubwa. Hawa ni watu wasiojitambua.
Nadhani kosa limeanzia kwenye uteuzi. Huwezi kuteua watu 'ngwini' kwenye wizara ambayo mambo yote ni sayansi.
Waziri 'ngwini'. Mkurugenzi Tanesco 'ngwini' Bodi ya watu 8 ina wahandisi wawili ambao walishasahaulika kwenye bodi ya mainjinia, wengine pia ni Ngwini.
Biashara ya umeme inahitaji uzalishaji wa kisayansi na kuuza umeme kisayansi. Ni tofauti na kutafuta wateja wa Multichoice au kuuza ticketi za TFF.
JNHHP inaendelea kujengwa kama kawaida mkuu. Hakuna wa kuzuiaJNHPP isikamilike. Serikali inatoa hela zote kwa wakati.Wahangaika na Legacy vs JNHPP huku kwa uzwazwa tu wakidhani LNG Processing Plant inalenga kuua JNHPP...
Kuhusu main contractor ku subcontract kazi nyingi iko kwenye mkataba.Hiyo Bwawa la Nyerere limepotezewa kivipi?!
Tatizo mlikuwa mnadanganywa sana kiasi cha kuamini ujenzi pale JNHPP ulikuwa unaendelea kwa kasi kweli kweli!
Hata mradi ulipokuwa deleyed for 5 months bado mkaambiwa "mambo ni fire"
Hata pale by December 2020 ambapo mradi ulitarajiwa uwe umekamilika kwa 46% lakini ndo kwanza ulikuwa 28%, mkaendelea kudanganywa kwamba "mambo ni fire"!
Leo akina Phillip Mpango wanapoamua kuwa wakweli na kuwaambia mradi umechelewa kwa sababu hii na ile, na kwamba Contractor katoa kazi nyingi muhimu kwa Subcontractors, hamtaki kukubali kwa sababu mlishamaanishwa kila kitu kipo okay huku hata ripoti za CAG za miaka ya nyuma zilikuwa zinaonesha ni namna gani mradi unavyo-delay!!
Mkuu unajielewa na kujitambuwa. SaluteTukubali kwamba hii ni Wizara ambayo waliowekwa ni watu misheni town tu.
Nimesikiliza hata huyo anayeitwa Maharage Chande ni aibu tu. Yaani anahangaika na gharama za kuunganisha umeme! Hizo gharama zinaleta faida ktk shirika?
Yeye anatakiwa azalishe na kuuza umeme kwa faida badala ya kuhangaika na kuunganisha kwa gharama kubwa. Hawa ni watu wasiojitambua.
Nadhani kosa limeanzia kwenye uteuzi. Huwezi kuteua watu 'ngwini' kwenye wizara ambayo mambo yote ni sayansi.
Waziri 'ngwini'. Mkurugenzi Tanesco 'ngwini' Bodi ya watu 8 ina wahandisi wawili ambao walishasahaulika kwenye bodi ya mainjinia, wengine pia ni Ngwini.
Biashara ya umeme inahitaji uzalishaji wa kisayansi na kuuza umeme kisayansi. Ni tofauti na kutafuta wateja wa Multichoice au kuuza ticketi za TFF.
Contractor hajazuiwa ku-subcontract, na hilo subcontracting ni jambo la kawaida kabisa kwenye shughuli za ujenzi, but according to CAG Report👇👇👇👇Kuhusu main contractor ku subcontract kazi nyingi iko kwenye mkataba.
Mkataba unampa haki main contractor kugawa 45% ya kazi pale mgodini.
Na kwa taarifa yako, bila kufanya hivyo tungekua tuko nyuma sana. Hao wachina subcontractors wamefanya kazi kubwa sana.
Hapa nakubaliana na wewe kwa 100% ndo maana nimekuwa nikijiuliza hii hofu watu wanaitoa wapi! Oh! Ndo kama nilivyosema hapo mwanzoni!Nilicho na uhakika nacho 100% ni kwamba huu mradi utakamilika bila shida yoyote. Hakuna mradi wowote utakaozuia huu wa JNHPP usikamilike.
Na kama miradi yenyewe ndo hii ya kutegemea pesa ambazo hauna, ndo shida tupu! Hata hii JNHPP ilianza kwenda smoothly baada ya kupata mkopo wa Standard Chartered Bank (UK) na ule wa Credit Suisse.Kuchelewa kwa mradi ni mambo ya kawaida ingawa sio mambo mazuri sana. Hata Eithiopia bwawa lao wamechelewa kwa muda sana ingawa juzi wameanza kuzalisha umeme.
Mimi siambiwi na mtu...Kwa hiyo kama ”sisi tulidanganywa” wewe ndio umeambiwa ukweli ?
If God whishes nitakuja changia huu uzi 2025.Kwanza anzia na Raisi wenu mwenyewe inaekekea hata logic ya Magu (RIP) kujenga SGR sambamba na Bwawa la Nyerere haijaeleweka, sasa wanasema (Samia) ananunua treni za umeme hapo hapo Bwawa la Nyerere linapotezewa siajabu limeshasimamishwa, sasa umeme wa kusukuma treni utatokea wapi ?
Hapo kwenye kuwaunganishia wateja wapya umeme "kisayansi", ndio bei yake inatakiwa kuwa 27,000 nchi nzima mkuu ?
Hata cabinet imejaa ma juniors sana. Nadhani katika nchi, taasisi muhimu kuwa na seniors ni baraza la mawaziri.Tukubali kwamba hii ni Wizara ambayo waliowekwa ni watu misheni town tu.
Nimesikiliza hata huyo anayeitwa Maharage Chande ni aibu tu. Yaani anahangaika na gharama za kuunganisha umeme! Hizo gharama zinaleta faida ktk shirika?
Yeye anatakiwa azalishe na kuuza umeme kwa faida badala ya kuhangaika na kuunganisha kwa gharama kubwa. Hawa ni watu wasiojitambua.
Nadhani kosa limeanzia kwenye uteuzi. Huwezi kuteua watu 'ngwini' kwenye wizara ambayo mambo yote ni sayansi.
Waziri 'ngwini'. Mkurugenzi Tanesco 'ngwini' Bodi ya watu 8 ina wahandisi wawili ambao walishasahaulika kwenye bodi ya mainjinia, wengine pia ni Ngwini.
Biashara ya umeme inahitaji uzalishaji wa kisayansi na kuuza umeme kisayansi. Ni tofauti na kutafuta wateja wa Multichoice au kuuza ticketi za TFF.
How? Vitu vinaonekana na commitment pia huonekana. Usipopanda, utavuna?
Ushahidi wa akili kubwa ya JPM ukipunguza bei utawezesha watu wengi kupata huduma ambayo kimsingi ni fursa ya wao kujitegemea kwa kuanzisha shughuri mbalimbali zinazotegemea umeme na kujenga uwezo wa kulipia matumizi yao ya umeme,hivyo kuongeza wateja na mwisho wa siku tanesco kupata Pato kubwa,kuongoza kunahitaji maono,mtaishia kujaa madeni Kama hamna timamu.Hapo kwenye kuwaunganishia wateja wapya umeme "kisayansi", ndio bei yake inatakiwa kuwa 27,000 nchi nzima mkuu ?
OkayHata zamani wati wa voda na tigo tulinunua kadi yaani ile chip kwa elfu 20 hadi 25 lakini siku hizi ni bule hadi elfu moja lakini hayo mashilika yana pata faida
Sasa iweje tanesco wao washindwe ka karne zote hizo?
OkayUshahidi wa akili kubwa ya JPM ukipunguza bei utawezesha watu wengi kupata huduma ambayo kimsingi ni fursa ya wao kujitegemea kwa kuanzisha shughuri mbalimbali zinazotegemea umeme na kujenga uwezo wa kulipia matumizi yao ya umeme,hivyo kuongeza wateja na mwisho wa siku tanesco kupata Pato kubwa,kuongoza kunahitaji maono,mtaishia kujaa madeni Kama hamna timamu.
Mwanamaji ongeza kanyana kidogo.Okay
Man, na ndo maana mara kwa mara nimekuwa nikiwaambia raia hapa kwamba LNG Project haina uhusiano wowote na JNHPP, kwahiyo waache vimaneno vya mitaani.JNHHP inaendelea kujengwa kama kawaida mkuu. Hakuna wa kuzuiaJNHPP isikamilike. Serikali inatoa hela zote kwa wakati.
LNG plant haiwezi kuua JNHPP. Hakuna mwenye akili mbovu kama hizo. Hilo liko wazi.
Kwanza anzia na Raisi wenu mwenyewe inaekekea hata logic ya Magu (RIP) kujenga SGR sambamba na Bwawa la Nyerere haijaeleweka, sasa wanasema (Samia) ananunua treni za umeme hapo hapo Bwawa la Nyerere linapotezewa siajabu limeshasimamishwa, sasa umeme wa kusukuma treni utatokea wapi ?
Kwahiyo contractor aki-sub kazi nyingi mradi unachelewa? Hayo mapenzi uliyonayo kwa serikali yasikutie upofu. Hakuna nia ya dhati kukamilisha mradi huo kwa wakati regardless matatizo yaliyokuwepo kwenye kick-offHiyo Bwawa la Nyerere limepotezewa kivipi?!
Tatizo mlikuwa mnadanganywa sana kiasi cha kuamini ujenzi pale JNHPP ulikuwa unaendelea kwa kasi kweli kweli!
Hata mradi ulipokuwa deleyed for 5 months bado mkaambiwa "mambo ni fire"
Hata pale by December 2020 ambapo mradi ulitarajiwa uwe umekamilika kwa 46% lakini ndo kwanza ulikuwa 28%, mkaendelea kudanganywa kwamba "mambo ni fire"!
Leo akina Phillip Mpango wanapoamua kuwa wakweli na kuwaambia mradi umechelewa kwa sababu hii na ile, na kwamba Contractor katoa kazi nyingi muhimu kwa Subcontractors, hamtaki kukubali kwa sababu mlishamaanishwa kila kitu kipo okay huku hata ripoti za CAG za miaka ya nyuma zilikuwa zinaonesha ni namna gani mradi unavyo-delay!!
Haitusaidii tunataka umeme uwake toka JNHPhuyo jamaa sio ngwini mkuu, ila labda useme experience tu kwenye hiyo sector
View attachment 2128953
Umesoma posts zangu au umekurupuka tu?!Kwahiyo contractor aki-sub kazi nyingi mradi unachelewa? Hayo mapenzi uliyonayo kwa serikali yasikutie upofu. Hakuna nia ya dhati kukamilisha mradi huo kwa wakati regardless matatizo yaliyokuwepo kwenye kick-off
Watu wanataka umeme bila kujali unatoka wapi! Wewe unayesubiri umeme wa Legacy endelea kusubiri!Haitusaidii tunataka umeme uwake toka JNHP