Asante sana Mkuu, nitachukua Maji ya Afya hapo kwa Mangi, ubarikiwe sana!!Kama uko karibu na duka la Mangi, hebu nenda ukanywe soda, halafu nitakuja kulipa.
Unaweza kukuta kwenye uzi wa kula tunda kimasihara alisoma mawazo ya wananchi wake!
Hata mi nashangaa,sijsikia akisema amejiunga,itakuwa anasoma kama GuestHakuna haja ya kiherehere kama cha facebook na twitter.Yeye kasema huwa anasoma tu.Akitaka kujiunga atafanya mwenyewe na sisi tuambiwe kuwa yupo.Lakini ya nini kutafuta matusi humu.Asome tu kidogo vichwa vya habari.
Bas yule wa dark days ndo yeyeFaiza siye kabisa, usimpakazie
Mama Yuko humu kitambo sana tu,hata kabla hajawa Rais!!Faiza siye kabisa, usimpakazie
Na kweli toka magu afe Bi Faiza anaingia mara moja moja humu ngoja tuone
Faiza siye kabisa usimpakazie,Plus unadishi wake ule mwandiko wake unafanana na mawazo ya Mama…..ni yeye
Wanasiasa wengi wakubwa ni member wa JF, kwa mtu ambaye yupo humu muda mrefu analijuwa hilo.Hata mi nashangaa,sijsikia akisema amejiunga,itakuwa anasoma kama Guest
Ameyaweka wazi hayo katika mkutano wa Bawacha katika siku ya mwanamke duniani.
Rais Samia akihutubia taifa kupitia mkutano huo amewaambia kuwa huwa anasoma maoni ya katiba mpya, wabunge wa Covid19 na mengineyo kuhusu Serikali yake kupitia mtandao maarufu wa JamiiForums.
My take:
Leo ndio nimejua kuwa kumbe Rais Samia nae ni mdau wa JamiiForums.
Hii imetuinua sana wana jukwaa hili.
Ok, Inawezekana piaWanasiasa wengi wakubwa ni member wa JF, kwa mtu ambaye yupo humu muda mrefu analijuwa hilo.
Huyu mama mkumbuke alikuwa ni mbunge tu, possibly ana fake I'd yake kitambo tu.
Sasa kama Jaji Werema na Anna Tibaijuka wana verified ID za JF mtashangaa mama Samia ambaye alikuwa hawafikii kihadhi hao watu Wawili kabla ya kupanda hadhi na kuwa vice President?
JF ndo mtandao was wasomi hata nilipokuwa chuo kila Great thinker anatumia JF so lazima apite hapa Kupata madiniWanasiasa wengi wakubwa ni member wa JF, kwa mtu ambaye yupo humu muda mrefu analijuwa hilo.
Huyu mama mkumbuke alikuwa ni mbunge tu, possibly ana fake I'd yake kitambo tu.
Sasa kama Jaji Werema na Anna Tibaijuka wana verified ID za JF mtashangaa mama Samia ambaye alikuwa hawafikii kihadhi hao watu Wawili kabla ya kupanda hadhi na kuwa vice President?
Siyo kweli, Faiza foxy ni kama robot, alishanyiwa analysis hapa miaka ya nyuma hakuna binadamu mwenye uwezo na speed ya comments kama Faiza Foxy.Faiza Fox nadhani ndiyo atakua Mama Samia humu!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app