Rais Samia: Huwa napitia JamiiForums naangalia maoni yenu

Sasa Maxence Melo umemsikia mwenyewe mama anapitia JF kusoma mijadala.

Rai yangu kwako jukwaa la siasa limejaa uchafu ningependekeza thread zote zisiruke hewani bila approval ya moderator ili kupunguza uchafu jukwaani...
Naunga mkono hoja. Sukuma Gang wanatuharibia sana jukwaa.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Rais Samia: Hakuna kisichowezekana kwenye mazungumzo, tumesuhudia nchi kadhaa zimeingia kwenye vita hawakupata suluhu, suluhu imepatikana...
Kwa hiyo mama atakuwa anamfahamu mpaka Tate Mkuu, mkulima wa ngogwe kutoka Kijiji cha Mtae Lushoto Tanga!! Hakika mama ametisha sana.

Na uzuri JamiiForums ni kama madawa ya kulevya! Ukishaingia humu, kamwe huji kutoka. Utaishia tu kubadili ID kama wale waheshimiwa baada ya kushambuliwa na wajumbe kwa hoja, kila upande. Ila kutoka kabisa, haiwezekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…