Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaona uduanzi wako kila siku humu.Ni jambo jema
Atakuteua vipi na ID fake?Nasikiliza hapa kwa redio mh rais anasema Huwa anapita humu kuangalia baadhi ya maoni ,
Anasema Huwa anacheka sana kuona wanaomkosoa
Mimi napenda kusema kosoa kwa staha
Tema madini yako
Huenda mkuu akakuona unafaa akakuchagua kutoka humu jamiiforums
Inawezekana.
Wajinga pia ni wananchi wa Tz tena ndiyo wengi zaidi.Inabidi admins waweke vigezo watu kujiunga maana wajinga wanaongezeka. Rais anaposoma watu kama hao anaona aibu.
Sasa si ndio starehe yyao hiyo [emoji28][emoji28]Mashoga kama wewe huwa nawapa dole la kati tu.
Kumbe mnasaka uteuzi humu?Nasikiliza hapa kwa redio mh rais anasema Huwa anapita humu kuangalia baadhi ya maoni ,
Anasema Huwa anacheka sana kuona wanaomkosoa
Mimi napenda kusema kosoa kwa staha
Tema madini yako
Huenda mkuu akakuona unafaa akakuchagua kutoka humu jamiiforums
Inawezekana.
Tatizo sio thread Bali wachangiaji hawana stahaSasa Maxence Melo umemsikia mwenyewe mama anapitia JF kusoma mijadala.
Rai yangu kwako jukwaa la siasa limejaa uchafu ningependekeza thread zote zisiruke hewani bila approval ya moderator ili kupunguza uchafu jukwaani.
Na ikiwezekana uongeze nguvu jukwaa la siasa ili mijadala yenye afya irudi kama zamani, watu hawachangii jukwaa la siasa Sasa hivi limejaa matakataka mengi.
Please litendee haki JF ambayo leo mama ameipaisha kama platform anayoitegemea kupata maoni.
Na ndio sababu tuliokataa unafki tumejipambanuwa wazi kwamba Magufuli alikuwa ni shetani na muuwaji, mama ameyasoma yote haya na leo ameahidi kwa kusema never, never again.
Cc: Pascal Mayalla
Sawa tumekusikiaMama Samia. Tukiwa kwenye haya maridhiano, hepu walipe kifuta jasho hata Kama Ni flat rate waliovunjiwa nyumba zao Kimara, Mbezi mpaka Kiluvya bila kulipwa hata shilingi.
Watu bado wanateseka.
Asante kwa usikivu.
😂😂😂 Hapo ufipa hakuna mwenye dhamira ya kushika Dola!Anaona uduanzi wako kila siku humu.
anacheka.....Rais Samia: Hakuna kisichowezekana kwenye mazungumzo, tumesuhudia nchi kadhaa zimeingia kwenye vita hawakupata suluhu, suluhu imepatikana kwenye mazungumzo kwahiyo tuendelee kuzungumza. Najua si rahisi kabisa watu kuja na utamaduni huu mpya ukakubalika mara moja, si rahisi, kwangu kuna vikwazo kwangu kuna vikwazo.
Huwa napitia Jamiiforums naangalia maoni yenu kule ndani, nasoma nnacheka, nasema lakini huu ni utamaduni mpya, si rahisi kukubalika kwa ghafla, kwahiyo pande zote Tanzania nzima si rahisi kukubali utamaduni huu mpya kwa haraka.
Kata viuno kwa staha humu anakutazama huenda akakuteua.😂😂😂 Hapo ufipa hakuna mwenye dhamira ya kushika Dola!
Kwishney!
Hata Mimi nimemshangaa yaani alivyoongea Catherine Ruge ni kistaarabu ila Mbowe ameongeza utumbo na shida kubwa hana IQ..Wanataka rais atoe maneno kupingana na msimamo wa chama chake cha CCM. Akifanya hivyo, angewafurahisha. Hata hivyo, naona Samia ameepuka kukamatwa katika mtego wa CDM. Mbowe ametoa lawama nyingi na hata kumuita JPM dikteta na kudai kwamba aliwatesa watu. Hivyo, isitokee tena. Sijui kama Samia alijua. Njia ya maendeleo kwa Tanzania ni ile ya kimagufuli tu. Na hiyo ndio njia ya kinyerere, Ki Edward Sokoine, njia ya Kisamora Machel, njia ya Ki Thomas Sankara, njia ya kijamaa. Binafsi, nilihofu kuwa mtego utamfetukia Mama Samia lakini ameepuka hilo.
Vita kubwa inaendeshwa na maajenti wa ubeberu kupitia upinzani, ambao wanajaribu kufuta jina la JPM na ujumbe wake katika mioyo ya Watanzania. Hata hivyo, hili halitafaulu kamwe. Wametumwa watu kama Lissu, Lema, na Mbowe, lakini hawawezi kufaulu.