IamBrianLeeSnr
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 2,010
- 4,179
Shida ni kutambua ipi ni ID sahihi...Nahisi kama nilishawahi mcheki PM akala buyu kali😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mojawapo ukiwemo wewe.Inabidi admins waweke vigezo watu kujiunga maana wajinga wanaongezeka. Rais anaposoma watu kama hao anaona aibu.
Ndiyo tujitahidi kuandika mambo ya kujenga na kama ni kukosoa tukosoe kwa ukweli na kwa nidhamu.Imagine maoni yangu yanasomwa na raisi wa nchi. [emoji1787]
Dada FaizaFoxy ni mhafidhina kweli kweli tofauti na Mh. Rais SSH.Mama wa kusomea ujinga anafaa kupewa Uhusika wa namba 1 ila si yeye namba 1 sio mhafidhina kama yeye
Vijana wa hovyo usikute mliwahi kumtongoza mama samia uko pm bila kuj
Naona baada ya comment hii kaenda kuanzisha uzi wa kumshauri raisi kuhusu katiba pendekezwa ya jaji warioba. Kama kawaida yake kaanza kwa kujitapaYuko wapi GENTAMYCINE atoe maoni? Maana huwa anajinasibu kwa ujasiri kutoa ushauri kwa Rais waziwazi bila woga
Uwepo wako tu humu ndani, nashukuru Sana kuendelea kukuonaTuandikeeee vya maanaa sasaaa...Na Avatar tubadili sasaa😄😄
Ndio mambo yanayo mchekesha kila akimsoma Lucas
Uwepo wako tu humu ndani, nashukuru Sana kuendelea kukuona
Mods, JF imepewa heshima kubwa sana. Kama Rais huwa anapitia humu kupata maoni yetu kama sehemu ya umma wa Watanzania, hakika nawaambieni, hakuna kiongozi ambaye hatapita JF.
Lakini ili maoni yetu yapewe uzito wa kupewa tafakuri ni lazima Mods walinde hadhi ya jukwaa kwa kuwapa adhabu kale wale wote wanaoligeuza jukwaa lionekane ni la wahuni.
Mtu akitukana au kukejeli, apigwe ban hata ya miezi 6 au mwaka mzima. Kuna watu humu, wanashangaza, wanafikia kumtukana kiongozi, unatafakari na kujiuliza JF siku hizi imebeba watu wa namna gani?
Mods, lirudisheni jukwaa kwenye heshima yake ili kiwe ni chanzo muhimu cha habari kwa wasio na habari, liwe ni jukwaa la ushauri kwa viongozi wa Serikali, vyama na taasisi mbalimbali.
Pamoja sanaNabarikiwaaa piaaaa