MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Rais wangu Samia Suluhu Hassan nitafurahi mno kama ukikataa CDF General Mabeyo asistaafu sasa bali nakuomba muombe umuongezee muda mpaka 2025 na ikiwezekana pia nenda nae hadi 2030 ikikupendeza.
Ameliheshimisha JWTZ na ni Jemedari sahihi, makini na aliyetukuka kabisa.
Tafadhali usiiache hii Hazina bali endelea nae kwani ni Mtu Makini hasa Kimedani na Kiutendaji.
Namkubali mno na hata Sisi Wananchi pamoja na 99% ya Wanajeshi tunamkubali sana CDF General Mabeyo.