Rais Samia ikiwezekana kwepa kuwalenga Wasukuma moja kwa moja kwenye hotuba zako

Kwa kweli mama ameteleza mno kuwananga tena kwa kuwataja kabisa huku akiwa amezungukwa na Maaskofu Wasukuma zaidi ya Saba 🤔 tena wakatoliki!
Mama na kikundi chake kinahasira sana na wasukuma maana wanajua hakiwakubaki hata kidogo! Kwa kifupi anakuja mwanza kuangalia hali ya hewa ya kisiasa!
 
yalipokua yaanandamwa makabila mengine kwa kudhalilishwa kuwa ni wezi ulikaa. Wafugaji wa kienyeji ni waharibufu sana wa mazingira wanachojali ni mifugo yao tu ambayo hata hivyo haijawahi kuboresha maisha yao
 
Wasukuma wenyewe wanasemaje?
Tuwaulize maaana wanasumu kali sana! Nahisi tatizo la wasukuma kuacha kufuga mifugo na kuanza kusoma na kufanya biashara walitakiwa wawe watu wa porini huko maana sasa wamekuwa tishio kwa jamii! Mambo yamebadilika na tena bado ngoja 2030 mtawafahamu ni akina nani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…