Rais Samia ikiwezekana kwepa kuwalenga Wasukuma moja kwa moja kwenye hotuba zako

Rais Samia ikiwezekana kwepa kuwalenga Wasukuma moja kwa moja kwenye hotuba zako

Mama na kikundi chake kinahasira sana na wasukuma maana wanajua hakiwakubaki hata kidogo! Kwa kifupi anakuja mwanza kuangalia hali ya hewa ya kisiasa!
Hii hutokea pale Walevi wanapojiona VERY SPECIAL kisa tu bia wanazokunywa zinachangia kiwango kikubwa cha kodi serikalini...

Acheni kujipa faraja... you're not that special

Lau kama SSH angewaona mpo special namna hiyo, asingefyeka mmoja baada ya mwingine serikalini!!!

HUO NDO UKWELI MCHUNGU MNAOTAKIWA KUUMEZA...
 
Jana MALCOM LUMUMBA alituhimiza tugeukie diplomasia....! Na aliuliza swali kujua kama tunajua diplomasia. Nilidhani swali hilo ulilijibu.
 
Ni leo tena.

Mheshimiwa Rais amewatupia lawama Wasukuma kwa kuharibu vyanzo vya maji katika maeneo mbalimbali hapa nchini kwa sababu ya ufugaji wao wa ng'ombe wengi.

Nia yangu bayana kwenye andiko langu ni kumshauri Rais ikiwezekana ajizuie kuwataja moja kwa moja Wasukuma kwenye hadhira kwa sababu hali ile pengine inaweza kutafsirika tofauti na walengwa hasa ukizingatia ndani ya muda mchache wa Utawala wake tuhuma nyingi za kubaguliwa walengwa zi bayana.

Ingetosha mheshimiwa Rais angetoka kauli ya jumla tu kwamba wafugaji ni sehemu ya wanaoharibu vyanzo vya maji

Sasa unapowataja Wasukuma moja kwa moja ilhali wapo wamasai na makabila mengine mengi yanayofuga maelfu ya mifugo ni sawa na kuwabagua watajwa

Mungu ibariki Tanzania.
Kipindi Msukuma mwenzenu Magufuli anatukana kila kabila akipita njiani wewe ulikuwa wapi?
 
Tatizo lenu hamtaki kuambiwa ukweli,kama wewe umezunguka mikoa ya Pwani, Lindi, Mtwara, Mbeya, Kigoma, Katavi, Morogoro na kwingineko utakubaliana na Mhe SSH kwamba wafugaji wanaoongoza kwa uharibifu wa vyanzo vya maji, misitu na kuleta mgogoro na wakulima ni wasukuma. Hebu jiulize kwanza ni kwa nini wamekimbia huko makwao na mifugo yao??
 
Jana MALCOM LUMUMBA alituhimiza tugeukie diplomasia....! Na aliuliza swali kujua kama tunajua diplomasia. Nilidhani swali hilo ulilijibu.
Huo uzi sijauona...

Lakini sina shaka, ndugu yangu MALCOM LUMUMBA anafahamu kwamba misimamo yangu ya kidemokrasia ni ile ya kibeberu!!

Anafahamu fika sina undugu wala uadui kwenye international cooperation...

Na anafahamu fika kwenye diplomasia huwa natenganisha kati ya International Cooperation na International Relation!!!

Wacha niki-settle niutafute huo uzi lakini sijui nini hasa nikiamini yeye ndo mjuvi zaidi kwenye hilo eneo kuliko mimi, ambae sina aibu wala soni kuingiza misimamo ya kibeberu popote pale!!
 
Mhe Rais ana ghaflika mno kuwasema tena kwa mabaya haimjengi kwai ni ushauri mzuri anapaswa auzingatie
Hamjamzoea?
"Wanaume wanachochangia ni mbegu tu"
Hapo alisema kwa jumla,Leo mnaona kabagua
 
Niliogopa mno aliposema "tena Wasukuma!"
Sasa ulitaka aseme wakurya au wagogo wakati ni kweli ni wasukuma?? Hivi karne ya 21 bado mnakimbizana na ma mifugo meeengiii!! Juzi nilikuwa natoka Kigoma kwenda Katavi hapo katikati tukakuta wasukuma wamekatatwa na ng'ombe elfu mbili ndani ya hifadhi ya Misitu ya serikali, imagine ng'ombe 2,000 unazurura nao Maporini kama kichaaaa wakati unaweza kuuza 1500 na kupata fedha ya kununua ardhi yako nzuri hata ekari 500 ukaweka miundombinu ya ng'ombe wako waliobaki 500 (bwawa la maji, josho, solar, nyumba mzuri ya kuishi au biashara ingine nk).
 
Ni leo tena.

Mheshimiwa Rais amewatupia lawama Wasukuma kwa kuharibu vyanzo vya maji katika maeneo mbalimbali hapa nchini kwa sababu ya ufugaji wao wa ng'ombe wengi.

Nia yangu bayana kwenye andiko langu ni kumshauri Rais ikiwezekana ajizuie kuwataja moja kwa moja Wasukuma kwenye hadhira kwa sababu hali ile pengine inaweza kutafsirika tofauti na walengwa hasa ukizingatia ndani ya muda mchache wa Utawala wake tuhuma nyingi za kubaguliwa walengwa zi bayana.

Ingetosha mheshimiwa Rais angetoka kauli ya jumla tu kwamba wafugaji ni sehemu ya wanaoharibu vyanzo vya maji

Sasa unapowataja Wasukuma moja kwa moja ilhali wapo wamasai na makabila mengine mengi yanayofuga maelfu ya mifugo ni sawa na kuwabagua watajwa

Mungu ibariki Tanzania.
Kwani uongo?
 
Back
Top Bottom