Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Sukuma gang wanazidi kunyooshwa kila kukicha yalivyo mazuzu yanazidi kukenua menoNani kakudanganya Sukuma Gang?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sukuma gang wanazidi kunyooshwa kila kukicha yalivyo mazuzu yanazidi kukenua menoNani kakudanganya Sukuma Gang?
Naona dawa inawaingia vyema sukuma gangHiyo2025 yenyewe sijui kama atafika maana anazidi kuchafua nchi na umoja umepotea tumaini limeondoka katika kila kitu
Mara ya mwisho alitembelea kule ikwiriri kwenye siku ya uwtKatoka Mwanza huyooo Zanzibar. Yaani tokea awe Rais hajatembea kijiji hata kimoja. Yeye ni.mijini na nchi za nje tu.Anachua tu anga na moshi wa ndege.
Ccm 5 tenaSasa ni wakati muafaka wa Kutenga maeneo ili wafugaji wasizurure hovyo na mifugo kuharibu mazingira na mashamba.
Marubani wanashukuru maana sasa posho zinaingia tuKatoka Mwanza huyooo Zanzibar. Yaani tokea awe Rais hajatembea kijiji hata kimoja. Yeye ni.mijini na nchi za nje tu.Anachua tu anga na moshi wa ndege.
Kutesa kwa zamuMjomba wako alipokuwa anataja makabila mengine ulikenyua meno, tulieni sindano iwaingie
aisee omba msamaha plz.Unafikiri mama ni kama lile zezeta lenu lililokuwa na betri kifuani?
Chawa tangu lini akawa na akili zaidi ya kunyoonya damu yaani kupeeLakini chawa wake wanasema anaupiga mwingi
Mkuu huo mkoa wa RUJWA ni mpya?Hawa wasukuma ni waaribifu sana wanapaswa wawe under control wanaharibu kila mkoa wapo wanaharibu mbeya Katavi rujwa
Hata asipowavuta mtamfanya nn? Hivi unajua nguvu ya kimamlaka aliyo nayo kwa mujibu wa katiba ya nchi hii?Hivi unajua saa hizi ndo wanampasua kichwa ndo maana kila muda Mwanza! Hajaenda Mbeya wala Lindi anajitahidi kuwavuta wana kanda ya ziwa!
Acha kuidanyanya nafsi yakoMikoa ya kanda ya ziwa ni kama ifuatavo Mwanza kiongozi wa kanda, Geita, shinyanga, simiyu, tabora, kigoma, mara na kagera yaani litakaloanzia mwanza kisiasa ujue mikoa tajwa italifuata kwa nguvu moja kabisa,
Sasa mshamba anawezaje kumnyanyasa mjanja?Wasukuma ni watu washamba sana ila hujifanya ni wajanja, nilisoma nao ni washamba na hawapo exposed kabisa. Wanapenda ukabila sana. Wametunyanyasa sana miaka mitano iliyopita...na kauli zao za wao ndio wenye nchi.
Huyo ni kiongozi,aweke bayana nia yake ya kuligawa taifa tena kwa ukabila wa moja kwa moja.Unafikiri mama ni kama lile zezeta lenu lililokuwa na betri kifuani?
Si aliwahi kusema aliokota dodo kwenye mnazi? Haikuwa planned Wasu K wachukie Nchi.Sasa mshamba anawezaje kumnyanyasa mjanja?
Habari sanaHahahhaa nchi hii watu kweli wamegawanyika sana! Yaani siku wakikutana watauana maana chuki imetanda si mchezo kuna mda mtu hajui hata adui yake ni nani!
Kwa hiyo Kanda zinagawanywa kwa kufuata makabila? Na Bukoba, Kigoma, Mara, kote ni wasukuma? Ama kweli usione mtu anajua kuandika ukadhani ameelimika.Kisiasa tabora ni Kanda ya ziwa,hakuna tofauti ya msukuma na mnyamwezi,zaidi msukuma mshamba th
Adui wa taifa ni sukumagang!Hahahhaa nchi hii watu kweli wamegawanyika sana! Yaani siku wakikutana watauana maana chuki imetanda si mchezo kuna mda mtu hajui hata adui yake ni nani!
Simba, kiboko, nyati ni washamba. Lakini vipi ukikutana nao, kwa sababu una akili na mstaarabu, utasimama upambane nao ilihali upo mikono mitupu? Do you get me?Sasa mshamba anawezaje kumnyanyasa mjanja?
Dada Suzy, pole na msiba! Ni kweli pengo lile halitazibika! Pole sanaKafufue waozao huko kwenu km unavyomnanga JPM