Rais Samia ikiwezekana kwepa kuwalenga Wasukuma moja kwa moja kwenye hotuba zako

Rais Samia ikiwezekana kwepa kuwalenga Wasukuma moja kwa moja kwenye hotuba zako

Hiyo2025 yenyewe sijui kama atafika maana anazidi kuchafua nchi na umoja umepotea tumaini limeondoka katika kila kitu
Naona dawa inawaingia vyema sukuma gang
 
Katoka Mwanza huyooo Zanzibar. Yaani tokea awe Rais hajatembea kijiji hata kimoja. Yeye ni.mijini na nchi za nje tu.Anachua tu anga na moshi wa ndege.
Mara ya mwisho alitembelea kule ikwiriri kwenye siku ya uwt
 
Katoka Mwanza huyooo Zanzibar. Yaani tokea awe Rais hajatembea kijiji hata kimoja. Yeye ni.mijini na nchi za nje tu.Anachua tu anga na moshi wa ndege.
Marubani wanashukuru maana sasa posho zinaingia tu
 
Hivi unajua saa hizi ndo wanampasua kichwa ndo maana kila muda Mwanza! Hajaenda Mbeya wala Lindi anajitahidi kuwavuta wana kanda ya ziwa!
Hata asipowavuta mtamfanya nn? Hivi unajua nguvu ya kimamlaka aliyo nayo kwa mujibu wa katiba ya nchi hii?

Rais anaweza kupata ama kufanya chochote mahala popote muda wowote kwa yeyote.

Kanda ya ziwa, Kanda ya ziwa. Kanda ya ziwa my foot.
 
Wasukuma ni watu washamba sana ila hujifanya ni wajanja, nilisoma nao ni washamba na hawapo exposed kabisa. Wanapenda ukabila sana. Wametunyanyasa sana miaka mitano iliyopita...na kauli zao za wao ndio wenye nchi.
 
Mikoa ya kanda ya ziwa ni kama ifuatavo Mwanza kiongozi wa kanda, Geita, shinyanga, simiyu, tabora, kigoma, mara na kagera yaani litakaloanzia mwanza kisiasa ujue mikoa tajwa italifuata kwa nguvu moja kabisa,
Acha kuidanyanya nafsi yako
 
Unafikiri mama ni kama lile zezeta lenu lililokuwa na betri kifuani?
Huyo ni kiongozi,aweke bayana nia yake ya kuligawa taifa tena kwa ukabila wa moja kwa moja.

In short Rais kwenye mioyo ya watanzania walio wengi hayumo maana kila MTU alishajikatia tamaa.

Nashangaa kila Mara mwanza,mwanza.....badala ashughulikie matatizo lukuki yanayoikumba nchi kwa sasa anazunguka tuu ili apongezwe.....TUMEPIGWA.
 
Kisiasa tabora ni Kanda ya ziwa,hakuna tofauti ya msukuma na mnyamwezi,zaidi msukuma mshamba th
Kwa hiyo Kanda zinagawanywa kwa kufuata makabila? Na Bukoba, Kigoma, Mara, kote ni wasukuma? Ama kweli usione mtu anajua kuandika ukadhani ameelimika.
 
Sasa mshamba anawezaje kumnyanyasa mjanja?
Simba, kiboko, nyati ni washamba. Lakini vipi ukikutana nao, kwa sababu una akili na mstaarabu, utasimama upambane nao ilihali upo mikono mitupu? Do you get me?
 
Back
Top Bottom