Rais Samia ikiwezekana kwepa kuwalenga Wasukuma moja kwa moja kwenye hotuba zako

Tutajua hatujui [emoji1787][emoji1787][emoji1787]na wanavyo juaga kuzitumia fursa sasa
 
Nakubaliana na wewe, maana wasukuma si wafugaji pakee hapa Tanzania... Kuna makabila mengine ya wafugaji pia.

SUKUMA gang watalichukua kwa namna tofauti na dhamira yake
 
Wasukuma ni watu wa hovyo sana
 
Wacha tabia za kuendekeza ubaguzi wewe.

Mmesha watesa sana watanzania kwa tabia zenu za kibaguzi kipindi kirefu
 
We au wazazi wako unafikiri wakifa watu hawatafurahi! Mda ni mwalimu mzuri!
Nenda zako wewe.

Wazazi wangu kama wamewatendea watu mabaya lazima hao watu wafurahi tu.

Mimi sitaweza kuwazuia.

Unafikiri ndugu na jamaa wa ben sa nane wamehuzunika na kifo cha shetani kuu jiwe?
 
Hivi unajua saa hizi ndo wanampasua kichwa ndo maana kila muda Mwanza! Hajaenda Mbeya wala Lindi anajitahidi kuwavuta wana kanda ya ziwa!
Punguza ukazuzu awavute kwa lipi?

Mna nini cha ziada hadi rais awahangaikieni nyinyi?
 


Mbona wamassai na wamang'ati wanasemwa kila siku. Ukweli ni ukweli tu kama ni ukweli aseme bila woga. Hakuna kundi la watu maalumu kwenye nchi hii!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…