Rais Samia ikiwezekana kwepa kuwalenga Wasukuma moja kwa moja kwenye hotuba zako

Rais Samia ikiwezekana kwepa kuwalenga Wasukuma moja kwa moja kwenye hotuba zako

Wasukuma ni watu wa hovyo sana
Ndugu msoso mpeseni ,tuachane na hizi chuki za kikabila kwani muasisi wake hayupo tena,tumshukuru Mungu kwa kutuondolea huyu mwendakuzimu.
Sasa chuki yetu inapaswa kuwa dhidi ya CCM, na tumuombe Mungu sana atende kama alivyotuondolea yule muovu, atuondolee na CCM.
 
Nawaza tuu hawa wanaosemwa wakaamua kujitenga ili wawaachie nchi yenu.


Tukiendelea hivi Zanzibar inabidi ijitenge kuepuka madhara ya hawa wasukuma

Kanda ya ziwa n wao wamechoka kutukanwa watadai iwe nchi huru tuu ili waendelee na utaratibu wao

Tukitoka kwa wasukumu wachaga nao waombe nchi yao kwani wameidai mda mlefu

Kanda ya magharibi nao wamechoka kulipa kodi na kuliingizia taifa pato kubwa halafu maendeleo yanapelekwa Dar es salaaam.


Baaada ya hapo tujifunze yanayoendelea huko Ethiopia ndio muone kuwekeza furaha kwa maumivu ya mwenzako
 
Sasa kwa nini kila kukicha huko huko kwa wafugaji wa ng'ombe wa kunywa lita 40 kwa siku?
Wanaongelea mambo ya kifugaji wote wanaongea theories tu hakuna mfugaji practical hapo anayejua ng'ombe anakunywa maji kiasi gani na mbona ng'ombe tu na wanyama wengine je? Kesho tutaambiwa Tembo wa Ruaha wamekausha vyanzo vya maji.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo ng'ombe na wanyama wengine hawataruhusiwa kunywa maji kabisa kwa tafsiri kwamba wanakunywa Lita nyingi ,mm ng'ombe wangu huku kilyamatundu nitawanywesha wapi,kwa mm Bora ng'ombe anywe maji Mimi nife ,kuliko ngo'ombe wangu wafe ,,kwa Mimi ng'ombe ndio ajira yangu ,ngo'ombe ndio maisha yangu nang'ooooo
 
Ni leo tena.

Mheshimiwa Rais amewatupia lawama Wasukuma kwa kuharibu vyanzo vya maji katika maeneo mbalimbali hapa nchini kwa sababu ya ufugaji wao wa ng'ombe wengi.

Nia yangu bayana kwenye andiko langu ni kumshauri Rais ikiwezekana ajizuie kuwataja moja kwa moja Wasukuma kwenye hadhira kwa sababu hali ile pengine inaweza kutafsirika tofauti na walengwa hasa ukizingatia ndani ya muda mchache wa Utawala wake tuhuma nyingi za kubaguliwa walengwa zi bayana.

Ingetosha mheshimiwa Rais angetoka kauli ya jumla tu kwamba wafugaji ni sehemu ya wanaoharibu vyanzo vya maji

Sasa unapowataja Wasukuma moja kwa moja ilhali wapo wamasai na makabila mengine mengi yanayofuga maelfu ya mifugo ni sawa na kuwabagua watajwa

Mungu ibariki Tanzania.
Aogope kwani walimpigia kura?
 
anasema ngombe mmoja anakunywa lita 40 kwa siku.

anasema kwato za ngombe wa wasukuma zinakanyaga ardhi na kuharibu ecolojia na hivyo kiusababisha ukame

my take. michongo iendelee.
 
Sasa ni wakati muafaka wa Kutenga maeneo ili wafugaji wasizurure hovyo na mifugo kuharibu mazingira na mashamba.
Naunga mkono hoja [emoji1666][emoji1666] jamani hawa wenzetu tuwasaidie, haiwezekani mtu una ng'ombe 1000 halafu unazurura nao mwanzo mwisho huko Maporini... Yaani mtu anazurura na milioni Mia mbili au Mia tatu porini badala ya kuiweka kwa biashara??? Noooo...
 
Wasukuma waharibifu wa mazingira,wameharibu kwao Sasa wapo rukwa huko wanachunga ng'ombe,wanakata Sana miti bila sababu
Hii ni kweli kabisa, huko Katavi na Kigoma nimekuta uharibifu mkubwa sana wa hawa wenzetu.. Kwenye misitu kuna kitu wanaita 'kutahiri miti' aisee ukiona hiyo kitu utalia machozi. Huwa najiuliza hawa wenzetu wana ugomvi gani na misitu????
 
Kwa hiyo Kanda zinagawanywa kwa kufuata makabila? Na Bukoba, Kigoma, Mara, kote ni wasukuma? Ama kweli usione mtu anajua kuandika ukadhani ameelimika.
Ndiyo maana nikasema kisiasa,siyo kiutawala,elewa!!..na tabora kiutawala ipo Kanda ya magharibi siyo kati
 
Back
Top Bottom