Kwa issue ya Corona kweli mama Samia alikuwa kutwa akihutubia anasema kagonjwa Kapoor
Magufuli hajawahi sema Corona haipo uongo alisema dawa haijapatikana tutumie maombi na dawa za asili zetu wenyewe sababu Tatizo kubwa huko kwenye wataalamu wanakufa na kuanguka maiti mabarabarani
Mama Samia dini hana akawa hana akawa anaamini dawa za wazungu na barakoa
Magufuli akasema tusali Siku Tatu na kujifukiza na kunywa dawa ya kienjyeji ikatusaidia.Hakukuwa na lockdown wala nini
Corona bila Mungu kuingilia kati tungekufa kama mbwa kwenye kuaga marehemu Magufuli. Ule msongamano hakuna ambaye angekuwa hai leo akiwemo mama Samia sababu hakuweko aliyechanja wala kuvaa barakoa.Hakukuwa na lockdown watu wanajazana kwenye daladala Mungu akatuepusha
Kwenye Corona tofauti ya Magufuli na mama Samia ilikuwa ya kidini kati ya mtumaini Mungu magufuli na mpagani mama Samia ambaye hakuona umuhimu wa Mungu kwenye kukabiliana na Corona na matumizi ya njia mbadala local grown mwabudu wazungu na solution zao za Corona