Kilimbaym
JF-Expert Member
- Mar 14, 2022
- 452
- 690
YeahMimi huwa sijibiwi hivyo wewe...alpha na omega...chuma...jiwe leo hii watu wanajipigia tuu!
Mzee kama angestaafu na kukubali kutoka madarakani basi angefariki baada ya mwaka mmoja tu maana sio kwa kusagiwa kunguni hivi
Watu wanajipigia tu
Magufuli hana tofauti na, mume mwenye mke pisi kali
Anambana mkewe, anamwonea wivu kama wote,hataki aongee na wanaume wengine na hayuko. Tayari kuona anashare utamu na wana wa kitaa
Ila siku akifa, mkewe watu wanajinyofolea tu