#COVID19 Rais Samia: Ilikuwa ni vigumu kwangu kufanya kazi na Hayati Magufuli hasa alivyokuwa anakabiliana na suala la Covid -19

#COVID19 Rais Samia: Ilikuwa ni vigumu kwangu kufanya kazi na Hayati Magufuli hasa alivyokuwa anakabiliana na suala la Covid -19

Mimi huwa sijibiwi hivyo wewe...alpha na omega...chuma...jiwe leo hii watu wanajipigia tuu!

Mzee kama angestaafu na kukubali kutoka madarakani basi angefariki baada ya mwaka mmoja tu maana sio kwa kusagiwa kunguni hivi
Yeah

Watu wanajipigia tu

Magufuli hana tofauti na, mume mwenye mke pisi kali

Anambana mkewe, anamwonea wivu kama wote,hataki aongee na wanaume wengine na hayuko. Tayari kuona anashare utamu na wana wa kitaa

Ila siku akifa, mkewe watu wanajinyofolea tu
 
Mimi huwa sijibiwi hivyo wewe...alpha na omega...chuma...jiwe leo hii watu wanajipigia tuu!

Mzee kama angestaafu na kukubali kutoka madarakani basi angefariki baada ya mwaka mmoja tu maana sio kwa kusagiwa kunguni hivi
Angekuwa hai sidhani kama wangemsema vibaya.

Japo naamini wakati mwingine Samia hastahili lawama anajikuta analazimishwa kumtaja marehemu hasa kama anakuwa anajibu maswali ya waandishi wa habari wanaomuuliza kuhusu mambo mbalimbali.
 
This is not presidential at all. Mama anapaswa kufanya yake tu sasa bila kumtajataja marehemu

Collective responsibility holds. Otherwise angeachia ngazi those days

IMG_0891.jpg
 
Kwa issue ya Corona kweli mama Samia alikuwa kutwa akihutubia anasema kagonjwa Kapoo!!!!

Magufuli hajawahi sema Corona haipo uongo alisema dawa haijapatikana tutumie maombi na dawa za asili zetu wenyewe sababu Tatizo kubwa huko kwenye wataalamu wanakufa na kuanguka maiti mabarabarani

Mama Samia dini hana akawa anaamini dawa za wazungu na barakoa
Magufuli akasema tusali Siku Tatu na kujifukiza na kunywa dawa ya kienjyeji ikatusaidia.Hakukuwa na lockdown wala nini

Corona Tanzania bila Mungu kuingilia kati tungekufa kama mbwa kwenye kuaga marehemu Magufuli. Ule msongamano hakuna ambaye ⁶angekuwa hai leo akiwemo mama Samia sababu hakuweko aliyechanja wala kuvaa barakoa.Hakukuwa na lockdown watu wanajazana kwenye daladala Mungu akatuepusha

Kwenye Corona tofauti ya Magufuli na mama Samia ilikuwa ya kidini kati ya mtumaini Mungu magufuli na mpagani mama Samia ambaye hakuona umuhimu wa Mungu kwenye kukabiliana na Corona na matumizi ya njia mbadala local grown mwabudu wazungu na solution zao za Corona
 
Rais Samia akiwa Washington Dc, anasema wakati wa utawala wa awamu ya 5...
Yuko sahihi....

Kwani binadamu hatotafautiani mawazo?! 😳😳😳

Mh.Rais SSH ni MKOMAVU HASWA....

Pamoja na kutofautiana naye lakini ilimbidi asimamie msimamo wa kiongozi wake mkubwa(collective responsibility) what a leadership 😍

Sasa ni zamu ya mh. Dr.Mpango kutofautiana mawazo na boss wake na kuendelea kuisimamia "COLLECTIVE RESPONSIBILITY" 💪

#Siempre JMT🙏
#Siempre SSH🙏
 
Kwa issue ya Corona kweli mama Samia alikuwa kutwa akihutubia anasema kagonjwa Kapoor

Magufuli hajawahi sema Corona haipo uongo alisema dawa haijapatikana tutumie maombi na dawa za asili zetu wenyewe sababu Tatizo kubwa huko kwenye wataalamu wanakufa na kuanguka maiti mabarabarani

Mama Samia dini hana akawa hana akawa anaamini dawa za wazungu na barakoa
Magufuli akasema tusali Siku Tatu na kujifukiza na kunywa dawa ya kienjyeji ikatusaidia.Hakukuwa na lockdown wala nini

Corona bila Mungu kuingilia kati tungekufa kama mbwa kwenye kuaga marehemu Magufuli. Ule msongamano hakuna ambaye angekuwa hai leo akiwemo mama Samia sababu hakuweko aliyechanja wala kuvaa barakoa.Hakukuwa na lockdown watu wanajazana kwenye daladala Mungu akatuepusha

Kwenye Corona tofauti ya Magufuli na mama Samia ilikuwa ya kidini kati ya mtumaini Mungu magufuli na mpagani mama Samia ambaye hakuona umuhimu wa Mungu kwenye kukabiliana na Corona na matumizi ya njia mbadala local grown mwabudu wazungu na solution zao za Corona
Acha udini fa..la ww
 
Back
Top Bottom