#COVID19 Rais Samia: Ilikuwa ni vigumu kwangu kufanya kazi na Hayati Magufuli hasa alivyokuwa anakabiliana na suala la Covid -19

Basi hangaya ni dhaifu sana
Aaah wapi acha aseme ukweli. Ana hofu ya Mungu huyo. Umesikia watu wangapi wamepotea katika utawala wake toka 19th March? Hayupo na hatakuwepo.
 
Ni unafiki wa hali ya juuuu
 
Basi hangaya ni dhaifu sana
lakini kunaminong'ono iliwahi tokea wakati wa utawala wa jiwe kuwa huyu mama alikuwa hapatani nae .
Na kuna maneno kuwa huyu mama hakuwa chaguo lake . Wanasema alimpendekeza Mwinyi huyu aliepo Zanzibar, you never know.
 
Makosa ya JPM hayawezi kumfanya Chief Hangaya Rais Bora. Afocus kwenye mipango yake, aachane na story za mtu ambae hawezi kujitetea tena. Ni juzi tuu kasema kwa mdomo wake kuwa nchi ilikua imefikia Uchumi wa Kati, lakini imerudi kuwa low income country. Apambane walau Uchumi urudi alipouacha JPM. Apambane na mfumuko wa Bei, ashushe Bei za pembejeo za kilimo na Vifaa vya ujenzi.
 
Huenda denoo J pia asingevaa kama angekuwa sehemu ya utendaji chini ya JPM.
 
Akisema ndio umasikini wako na familia yako utaondoka?
 
lakini kunaminong'ono iliwahi tokea wakati wa utawala wa jiwe kuwa huyu mama alikuwa hapatani nae .
Na kuna maneno kuwa huyu mama hakuwa chaguo lake . Wanasema alimpendekeza Mwinyi huyu aliepo Zanzibar, you never know.
Hilo naamini, na ukiangalia nature ya Jiwe alikuwa haamini katika mwanamke hasa katika nafasi za juu.

Yaani pale alimu'appoint' tu kama bahati mbaya kulinda 'empire' kwa ajili ya future yake ya 'umilele'!
 
Achà theories za kijinga. Marehemu atasemwa Sana Kama legacy yake alivyoiandika. Kama aliua atasemwa kuwa aliua, Kama alipoteza watu tutamsema Sana kuwa alipoteza watu. Hakuna kupumzika, aje aseme Kwanini ALITENDA aliyoyatenda. Mbonà Hitler anasemwa kwa maovu yake.
 
Kwahiyo walipotea sababu ya Magu?

Mbona Marekani walikufa watu laki 5 pamoja na kuchukua hatua zote zile?

Usiwe mpumbavu!
Tena usipoangalia hata wazazi wako utazika hivi karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…