Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Mbinu ipi ilifanya kazi?Kwa hiyo tunakubaliana mbinu za Magufuli hazikufanya kazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbinu ipi ilifanya kazi?Kwa hiyo tunakubaliana mbinu za Magufuli hazikufanya kazi?
Sio Covid. Magufuli walimuua maana misimamo yako iliwashinda nguvu. Wakaona dawa ni kumterminate tu.Hatimaye COVID ikamfagia Jiwe
Aaah wapi acha aseme ukweli. Ana hofu ya Mungu huyo. Umesikia watu wangapi wamepotea katika utawala wake toka 19th March? Hayupo na hatakuwepo.Basi hangaya ni dhaifu sana
Ile ambayo iliwezesha rais asifariki kwa covid kama hapo Kenya.Mbinu ipi ilifanya kazi?
Kwa kusema hivyo huyo mamako ndio unga kwenye kibaba chako umejaa?
Leta ushahidi. COVID wiped him.To hellSio Covid. Magufuli walimuua maana misimamo yako iliwashinda nguvu. Wakaona dawa ni kumterminate tu.
Ni unafiki wa hali ya juuuuKama kweli walitofautiana lakini akashindwa kusimamia alichokiamini mpaka mwisho basi hakuwa na msimamo.
Sikuwahi kumuona Samia akiwa amevaa barakoa wakati wa Magufuli, mtu pekee niliyemuona amevaa barakoa alikuwa ni Kikwete pekee, au kama, yupo aliyemuona Samia kuvaa barakoa wakati ule hata anioneshe picha na Magufuli akionekana.
Inawezekana Samia aliogopa kitumbua chake kisiingie mchanga akawa tayari kuweka reheni afya yake.
Ambako waliweka lockdown hawakufa?Unajua walikufa wangapi tukianzia na yy
lakini kunaminong'ono iliwahi tokea wakati wa utawala wa jiwe kuwa huyu mama alikuwa hapatani nae .Basi hangaya ni dhaifu sana
Dhaifu vipi wakati 'anadunda' na saivi ameenda US kwenda kuchukua madolari, dhaifu wameenda na 'wimbi' la uviko mzee.Basi hangaya ni dhaifu sana
Huenda denoo J pia asingevaa kama angekuwa sehemu ya utendaji chini ya JPM.Kama kweli walitofautiana lakini akashindwa kusimamia alichokiamini mpaka mwisho basi hakuwa na msimamo.
Sikuwahi kumuona Samia akiwa amevaa barakoa wakati wa Magufuli, mtu pekee niliyemuona amevaa barakoa alikuwa ni Kikwete pekee, au kama, yupo aliyemuona Samia kuvaa barakoa wakati ule hata anioneshe picha na Magufuli akionekana.
Inawezekana Samia aliogopa kitumbua chake kisiingie mchanga akawa tayari kuweka reheni afya yake.
Akisema ndio umasikini wako na familia yako utaondoka?Sema yote mom wetu. Yule Dictator tunajua ya ndani alivyo Ku treat. Mungu akupe nguvu. Unayo support kubwa nyuma yako. Ningekuwa Mimi ni wewe katika hiyo nafasi na Yule Jamaa ningekimbikla uhamishoni kabisa. Lakini ulivumilia. Siku zote mvumilivu hula mbivu[emoji140][emoji140][emoji140][emoji140]
KAZI Iendelee. Endelea kuimarisha mahusiano mazuri ndani na nje ya nchi. Tanzania siyo kisiwa.
Mbona wazazi wako nao kesho tu utakuwa na msiba wao, je nao ni mashetani watafagiwa na corona?Tena ilimfagia kishenzi shetani yule.
Hilo naamini, na ukiangalia nature ya Jiwe alikuwa haamini katika mwanamke hasa katika nafasi za juu.lakini kunaminong'ono iliwahi tokea wakati wa utawala wa jiwe kuwa huyu mama alikuwa hapatani nae .
Na kuna maneno kuwa huyu mama hakuwa chaguo lake . Wanasema alimpendekeza Mwinyi huyu aliepo Zanzibar, you never know.
Achà theories za kijinga. Marehemu atasemwa Sana Kama legacy yake alivyoiandika. Kama aliua atasemwa kuwa aliua, Kama alipoteza watu tutamsema Sana kuwa alipoteza watu. Hakuna kupumzika, aje aseme Kwanini ALITENDA aliyoyatenda. Mbonà Hitler anasemwa kwa maovu yake.Rais Samia akiwa Washington Dc, anasema wakati wa utawala wa awamu ya 5, mara kadhaa alijikuta anatofautiana na Rais Magufuli.
Mojawapo ya tofauti zao zilikuja kwenye suala zima la kudili na ugonjwa wa Uviko-19.
My take:
Rais Samia inatosha sasa, marehemu hasimangwi tumuache apumzike, tugange yajayo.
View attachment 2188626
Kwahiyo walipotea sababu ya Magu?Yaani nilitaka uteketeze kila kitu. Mshenzi yule anakebehi COVID. Yaani mi ilinichapa Mungu akaniokoa. Nikapoteza Shangazi zangu wawili na Kaka zangu wawili. Achilia mbali ndugu, Jamaa na marafiki na majirani. Yaani alaaniwe Lucifer Yule aungue Motoni. Ninaamini alikutana na wale waliopotea enzi zake.
Akisema ukweli ndio chadema inaenda ikulu?Hakuna shetani anategemea Mungu. Acha mama Samia aseme ukweli kuhusu yule dhalimu.
Aisee, kweli huyu hamnazo kabisa, nchi imekua haina dira, mambo ni hovyo hovyo hovyo.OGOPA MWANAMKE AMBAYE KICHWAN NI MWEUPE YAAN ANA UBONGO LKN AKILI HAMNA .
OGOPA MWANAMKE MNAFIKI.