BEDUI Jr
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 2,041
- 2,846
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.
Kwenu Tiss.
Haina, soma katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!!Kwani Zanzibar haina mamlaka kamili?
Mbona naona ndio itakuwa vizuri tu!Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.
Kwenu Tiss.
Nje ya Muungano, hakuna Zanzibar isipokuwa kuna Unguja na Pemba. Kama wanadhani sumu inaonjwa, wajaribu waone. Haitaisha miaka mitano kabla Tanganyika haijapokea wakimbizi kutoka upande huo!
Sultan wa Oman atarudi kutawala Zanzibar
Kuna watu huko CCM likiomgelewa suala la Katiba mpya wao wanafikiria madaraka tu. Mmoja wapo ni Mbunge wa Isimani na mwingine ni Waziri wa hela.Mleta mada umeleta umbea hapa jamvini. Maana umeandika tuhuma bila ushahidi.
Hujaeleza hizo dalili ni zipi na umeziona vipi.
Tulia dawa ikuingie si huwa mnasema Zanzibar haina maana nyie?Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.
Kwenu Tiss.
Ndio maana tunasema ni akili za kizamani kuwaza eti Zanzibar ikiwa na mamlaka kamili itakuwa ni hatari kwa usalama wa Tanganyika ! Kwani kabla ya mwaka 1964 yaani kabla ya muungano Zanzibar haikuwa na mamlaka yake kamili kama Nchi ?? Je ilileta tishio gani huku Bara ?? !!!Hatari gani?!!!
Ondoa hofu mkuu, hakuna hatari yoyote..
Huyu ndiye Paskali, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni !!Mkuu Suzy Elias, ungekuwa umetutendea haki kama ungesema hilo tishio la usalama wa JMT ni tushio gani endapo Zanzibar itepewa hadhi sawa na haki sawa ndani ya JMT kama ilivyo Tanzania Bara, mfano muungano wa federation au muungano wa mkataba?.
Kuna wengi wamemjua Samia baada ya kuwa Rais wa JMT, ndio mnaweza kuwa na mashaka na Samia kwenye kuulinda huu muungano wetu adhimu. Angalia bandiko hili ni la lini na Rais Samia alisema nini kuhusu muungano "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
Na kwa faida ya wavivu to follow links
P
Acha upumbavu sanua mamlako hayo hana,mwenye manlaka hayo ni wananchi wa zanzibarKuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.
Kwenu Tiss.
Acheni fikra za kihuni, kwamba Kenya au Msumbiji zisiwe hatari ila kisiwa ndio kiwe hatari?? Hayo mambo yalikua enzi hizo za vita baridi sahivi haipo sasa kuogopana huko vipi?Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.
Kwenu Tiss.
Weka hata codes basi tuweze kupata facts ya unachokisemaKuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.
Kwenu Tiss.
Mbona mnapenda sana kukuza nguvu ya TISS, kikwete alipowapa katiba mpya inayotambua Zanzibar kama nchi yenye mamlaka kamili JK alikufa? In fact mpaka kura ya maoni ikapigwa na muundo wa serikali ukabadilishwa kuwa SUK kuna mtu alikufa??Kabla hata hajafikiria kufanya hivyo, bendera zitapepea nusu mlingoti. Huo muungano hakuna atakekuja kuuchezea kizembe.
Akili za kizamani hizo !!Naiona zanzibar ikiwa nchi huru na kamili na ikianza kutumia sheria za Taliban [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona DRC wanauwana au Rwanda Wana ukabila ila Tanzania tuna survive bila shida au toka lini Zanzibar ndio iwe threat kuliko Kenya au Msumbiji?? Ingekua hivi nchi nyingi zisingepewa uhuru kisa tu hofu zisizokua na basis.Political instability ya nchi jirani huwezi kusema it’s none of your business. Labda kama hujui unachoongea!