Kwanza tukubaliane jambo lolote likifanyika kwa utashi hafifu hakuwez kuwepo harmonization au tranquility.
Ukweli ni Zanzibar na bara tunapendana na tunahitajiana tatizo ni siasa chafu za ccm na counter parties.
Muungano ukivunjika zanzibar atanufaika kwa vile ni nchi ndogo inaweza kujiboresha kiuchumi na kijamii kwa uwekezaji mdogo.
Lakin wazenj wamewekeza sana bara kuliko bara kule. Watajiumiza katika kushift mitaji na mali hasa ya ardhi.
Bara tutakuwa tumekarbisha upinzani hasa wa mapato ya bandari. Pia kuweka ugumu katika kudhibiti revenue kutokana na ukubwa wa goli la ukanda wa bahari. Hili linaongeza hofu ya usalama pia. Hata nchi za west na ukolon mamboleo wao hazitafurahia kwa hofu ya udhibit wa sera za kiarab na hata ugaidi. Zanzibar na mwarabu ni kitu kile kile.
Ukijumlisha yote haya, dawa ni UWEPO WA SERKALI MOJA!(rais 1, bunge 1, mahakama 1)
Serkali 3 ni aghali na italeta mvutano wa kimamlaka ya juu.
Muungano wa mkataba sio imara kias cha kuaminiana kwa mipango ya muda mrefu. (Ni sawa na utofaut wa nguvu ya commitment kat ya ndoa ya kikristo na kiislam!)
Ili kufika huko lazma ccm ife na vyama vya siasa vifutwe tuanze upya usajiri na siasa za kistaarab.
Namaanisha hivi, wa kutufikisha huko inabid atoke nje ya mifumo iliyopo kwa sasa. Nikiangalia zanzibar na wazanzibar walivyo, kama si ccm na siasa chafu za kibabe na counter attacks za upinzan wana kiwango cha juu kabsa cha ustaarab kama eden kabla ya nyoka kuchafua hali ya hewa! (na ukristo wang na mizimu, hapa ndo huwa nausifu uislam.....HAKI).
Niseme wazi, tangu dunia kuwepo, shangazi Samia na braza hussein Mungu kawaleta km manabii wa mwisho wa kisiasa kuiweka zanzibar inapostahili. Mna deni kuliko rais wote waliopita maana haitatokea chance au goli la waz kama hili tena!
Najua nchi zetu za kiafrica (quasi sovereign) zinakuwa monitored kwa nje lakin uwepo wenu kwa pamoja hivi ni mpango wa Mungu na dua za wote wapenda haki, heshma na usawa! Mna deni kubwa mno! Mkishindwa kabsa kuifuta ccm zanzibar kiakili, bas kupitia ustaarab wenu wa kurith ifanye zenj ya kutoskia siasa za dam. Adui mkubwa wa ustaarab ni unmonitored democracy!
.....(mniwie radhi sina kipaj cha kupresent bila utan na mzaha. Sipendi mambo ya kuwa serious napenda mambo ya kuwa reasonable!)