Mbona mnapenda sana kukuza nguvu ya TISS, kikwete alipowapa katiba mpya inayotambua Zanzibar kama nchi yenye mamlaka kamili JK alikufa? In fact mpaka kura ya maoni ikapigwa na muundo wa serikali ukabadilishwa kuwa SUK kuna mtu alikufa??
Nchi hii Rais ndio ana sauti ya mwisho ndio maana mlikataa chanjo Samia kasema chanjo lazima na hamna kitu mmemfanya. Hao TISS ni makada wa CCM sio kwamba wako pale kwa maslahi Yako wewe.
Mtoa Mada kaandika kwa akili kubwa sana..lakini wewe ume reply kwa akili ya kawaida sana. Zanzibar ni kisiwa kile. soon after their isolation from Union government. its going to be the center of terrorism na hata piratism. Tanganyika is safe since Zanzibar is safe.Usalama wa kitu gani labda? Ni kipi so special hapa bara ambacho Zanzibar ndio inapaswa kuwa kinga yetu? Au ni muungano wa kitambiko kiasi kwamba ukivunjika mizimu itafanya yake?
Kwani wewe kinakuuma nini?Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.
Kwenu Tiss.
Mawazo ya mkoloni mweusi. Kuipa Zanzibar stahiki zake kisheria ni kuipa uhuru kamili ni hatari kwa Tanganyika, ila kuinyima stahiki zake ndo kudumisha muungano. Hivi mawazo haya yana tofauti gani na Mwingereza na Mjerumani aliyeitawala Tanganyika na Sultan sliyeitawala Zanzibar? Ukoloni ni ukoloni tu iwe ni wa mtu mweusi au mweupe.Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.
Kwenu Tiss.
Hao materrorists watakuwa na sehemu gani ya kujificha katika kisiwa kidogo kama Zanzibar ?? Kiasi kwamba big powers wasiwafikie kwa muda mfupi sana ? Au watajificha misikitini ?Mtoa Mada kaandika kwa akili kubwa sana..lakini wewe ume reply kwa akili ya kawaida sana. Zanzibar ni kisiwa kile. soon after their isolation from Union government. its going to be the center of terrorism na hata piratism. Tanganyika is safe since Zanzibar is safe.
Taja dalili, then andiko lako kutakuwa la dhahabuKuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.
Kwenu Tiss.
Mameli makubwa ya kiarabu ya kivita say, yakiweka nanga bahari ya nchi huru ya Zanzibar kiulinzi tuko salama? Nadhani alimaanisha scenario Kama hiyoUsalama wa kitu gani labda? Ni kipi so special hapa bara ambacho Zanzibar ndio inapaswa kuwa kinga yetu? Au ni muungano wa kitambiko kiasi kwamba ukivunjika mizimu itafanya yake?
Mambo ya mameli ni Vita za kizamani bwasheeMameli makubwa ya kiarabu ya kivita say, yakiweka nanga bahari ya nchi huru ya Zanzibar kiulinzi tuko salama? Nadhani alimaanisha scenario Kama hiyo
Kangaruuuuuu Koti?Huyu ndiye Paskali, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni !!
Mtoa Mada kaandika kwa akili kubwa sana..lakini wewe ume reply kwa akili ya kawaida sana. Zanzibar ni kisiwa kile. soon after their isolation from Union government. its going to be the center of terrorism na hata piratism. Tanganyika is safe since Zanzibar is safe.
Mkuu INTROVETED, pole sana, umepitwa na wakati. Ni kweli ule Mkutano wa Berlin wa mwaka 1884 ilimpa Sultan of Zanzibar a 10 miles of coastal strip lakini kupitia mkataba wa Heligoland–Zanzibar Treaty au Anglo-German Agreement of 1890) wa tarehe 1 July 1890 kati Ujerumani na Uingereza ambapo Waingereza waliokuwa wanamlinda Sultan wa Zanzibar, walikabidhi eneo la 10 miles costal stripe na Ujerumani wakawapa Waingereza mji wa Helingoland na Kisiwa cha Witu.Hivi mnajua kuwa muungano ukivunjika basi sehemu ya ardhi ya Zanzibar ni vie visiwa jumlisha na km 19 wa mwambao wa bahari ya Hindi kuelekea bara yaani acha Unguja na Pemba na mafia then kutoka usawa wa Tanga hadi Mtwara kuja bara. Yaani Watanganyika tutapoteza Dar, Bagamoyo, nk tutaambulia Kimara na Kibiti tu 😂😂
Hivi unakijua kilichomkwamisha Dr. Salimu kuwa Rais wa JMT pamoja na kwamba alikuwa na sifa zote za kuwa Rais?
Mtoa Mada kaandika kwa akili kubwa sana..lakini wewe ume reply kwa akili ya kawaida sana. Zanzibar ni kisiwa kile. soon after their isolation from Union government. its going to be the center of terrorism na hata piratism. Tanganyika is safe since Zanzibar is safe.
boss huwa hatusemei yaliyo katika Moyo wa mtu huwa ni siri kuu binafsi!Unadhani kila mtu anatamaa ya kuendelea kuwa Rais?! Alishawaambia kuwa kuna hatua anazichukua akielewa kuwa anaweka Urais rehani, kwake it's okay.
Hata mkimtoa leo ataendelea kula mema ya nchi hadi anakufa, roho ya Mama haina tamaaa kama TEAM JIWE.
Siyo kweli ..kwa kuwa yeye mwenyewe kesha jua mwisho wake 2025 ..sasa hivi mpango wa yeye kugombea 2025 umekwisha kufifia moyoni mwake kwa kuto kukubalika na yeye mwenyewe kugundua kuwa akili zake ni ndogo sana baada ya kupinga njia za magufuli ila baada ya mambo kuanza kuharibika ndiyo ana rudi kufata njia za jpmAkifanya hivyo automatically ana risk nafasi yake ya kuwa Rais.
Kwa hiyo mtu Kama wewe unamuita nyerere mjinga daaah😄😄Alikuwa mjinga haswa. Kenyatta alikataa Muungano na mpaka leo Kenya ipo sembuse Zanzibar taifa la kihistoria? Kenya na Zanzibar ni wapi kuna ukabila na ubaguzi zaidi?
Seriously, unawezaje kuilinganisha Kenya na Zanzibar?
Mtifuano unaoweza kutokea Zanzibar ni kama ule wa Wahutu na Watutsi.