Rais Samia, jaribio lolote la kuipa Zanzibar mamlaka kamili ndilo litakuwa anguko lako

Itaruhusiwa na nani?? lete mkataba wa muungano hapa kwamba Zanzibar ili iwe huru itahitaji ruhusa kutoka Tanganyika.

Kumbe wewe ni jamii ya Lukuvi na kina Ndugai ...piriad., Tanganyika si mna jeshi lenu na mipaka yenu, Zanzibar kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar ni nchi huru na mipaka yake imeonyeshwa kwenye Katiba ni hila za Mchongameno tu Zanzibar kuwa hivi ilivyo sasa.

Mungu ampe nguvu mama samia alete hii Katiba Wazanzibari warudi kama walivyokuwa na mamlaka yao hapo baada ya mapinduzi., vichogo vimetapakaa Zanzibar
 
Uzi wa fitina huu. Uzi wa shari au wengine wanaita ugomvi.
 
Wajitenge tu kwanza hawana faida na sisi, ka kisiwa tu haka tukaogope? Kwanza kila aliye idara ya usalama na mi mzawa wa huku arejee chap, wakae na uswahili wao huko
 
mmeanza kumtisha tena kama mlivyofanya kwa JK siyo !!
 
Akifanya hivyo automatically ana risk nafasi yake ya kuwa Rais.
Acha woga mama ni Rais wa JMT ndio mkuu majeshi na kamanda mkuu wa majeshi ya JMT., Ndugai yuko wapi alijaribu kutingisha kibiriti, Lukuvi walianza kuleta ngebe ngebe
 
Kama jimbo la Taxas la USA linaanda kura ya maoni kujitenga na US mwaka 2023 kwanini, Zanzibar uikataza, muache uoga wa mabadiliko.
Wenye nchi zao wanafikiria kuhusu ugumu wa maisha. Ni hoja ambayo kama JPM angekuwa hai isingeweza kuibuliwa wala kujadiliwa.
 
Kuendelea au kutoendelea baada ya 2025 ni mpango wa Mungu. Lakini kama akiendelea kufanya kazi kama anavyofanya huku akitekeleza miradi yote iliyoachwa na hayati na hii mipya ya sasa, hizi nyuzi za fitina zitakuwa ni kazi bure tu.

Huko mikoanii zinapojengwa shule nyingi na mahospitali na unaposambazwa umeme kila kukicha hawana muda na nyuzi kama hizi, SSH ni mpaka 2030 panapo uhai.
 
Tatizo hulioni? Ukiiondoa “Tanganyika” na ikasimama yenyewe, Rais wa Muungano wa “Tanzania” atabaki anahanghang tu. Nyerere hakuwa fala.

Harafu kwanini tujipe mzigo wa kuwa na Serikali ya tatu isiyokuwa ardhi wala tija?
Mzigo upi kiongozi? Zanzibar watakuwa na serikali yao kwa gharama zao, Tanganyika watakuwa kwao na Serikali yao halafu Serikali shirikishi wakikubaliana itakuwepo kwa gharama za pande zote kwa mujibu wa makubaliano kama hamtataka kila nchi itabeba uhuru wake.,

Ni jambo jema kutakuwa na Passport ya Zanzibar, tanganyika mtarudia jina lenu muache kujivisha koti la Muungano kama ndio jina la nchi yenu., jisikieni fakhari kwa Tanganyika yenu kama wazanzibar wanavyojivunia kuwa na jina la Zanzibar
 

You must be kidding! Kumbe hata jambo rahisi nalo ni rocket science?

Hujui kwamba Muungano wa Serikali tatu maana yake:
1. Three legislative branches?
2. Three executive branches?
3. Three judiciary branches?
 
Tatizo hulioni? Ukiiondoa “Tanganyika” na ikasimama yenyewe, Rais wa Muungano wa “Tanzania” atabaki anahanghang tu. Nyerere hakuwa fala.

Harafu kwanini tujipe mzigo wa kuwa na Serikali ya tatu isiyokuwa ardhi wala tija?
Basi tuwe na serikali moja, serikali mbili ni mzigo mzito
 
Nje ya Muungano, hakuna Zanzibar isipokuwa kuna Unguja na Pemba. Kama wanadhani sumu inaonjwa, wajaribu waone. Haitaisha miaka mitano kabla Tanganyika haijapokea wakimbizi kutoka upande huo!
Mbona kuna visiwa vya Komoro havijaungana ila ni nchi moja
 
Nje ya Muungano, hakuna Zanzibar isipokuwa kuna Unguja na Pemba. Kama wanadhani sumu inaonjwa, wajaribu waone. Haitaisha miaka mitano kabla Tanganyika haijapokea wakimbizi kutoka upande huo!
Zama za tanganyika kuikalia kijeshi Zanzibar zimeisha elewa hivyo., tunataka kuona kama Mama anaumizwa na Zanzibar basi afanye hima hima huu ndio muda, wenye chuki na fikra za mchongameno tuone maumivu yao, nyerere alikuwa binadamu si zaidi ya chochote
 
Tulia dawa ikuingie si huwa mnasema Zanzibar haina maana nyie?

Rasimi ya Warioba inataka hivyo,kwa nini alioendekeza Serikali 3 badala ya serikali moja au mbili?

Unajua maana ya sovereign state? Muungano wa Serikali 3 haina maana ya 3 sovereign states!
 
Ramli chonganishi hiyo
 
""Stop day dream there no such a #shits, madam fight much for zanzibar rights according to mutual agreements entered before, ""
S. gang wanachokonoa kwa mlango mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…