Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Mbona DRC wanauwana au Rwanda Wana ukabila ila Tanzania tuna survive bila shida au toka lini Zanzibar ndio iwe threat kuliko Kenya au Msumbiji?? Ingekua hivi nchi nyingi zisingepewa uhuru kisa tu hofu zisizokua na basis.
akikujibu unijulishe. muungano wenyewe huu haueleweki umekaa kichawikichawi tu....Usalama wa kitu gani labda? Ni kipi so special hapa bara ambacho Zanzibar ndio inapaswa kuwa kinga yetu? Au ni muungano wa kitambiko kiasi kwamba ukivunjika mizimu itafanya yake?
Umoja ni nguvu, Jicho lako halioni mbali, hasa katika securty wise #shutupHamna cha maana ambacho Zanzibar inaipatia Tanganyika
Mbona hatujaungana na Comoro upande wa kusini mashariki
All in all kila upande uwe na mamlaka yake, yaani kuwe na Zanzibar huru na Tanganyika huru
Acheni hoja chonganishi kwa Mhe. Rais. Ni watu wenye akili ndogo tu wanaofikiria Dola ya Tanzania inaweza kuundwa upya. Wewe mleta mada hujui kuvunja Muungano ni uhaini? Halafu unamhusishaje Mkuu wa nchi, Rais na Amiri Jeshi Mkuu? Suala la Dola ya Tanzania siyo la kisiasa. Wala nchi hii haiwezi kuundwa upya. Ilishaundwa na waasisi wetu.#Tulete hoja za kujenga nchi na tumuache Mhe. Rais afanye kazi.🙏🙏🙏Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.
Kwenu Tiss.
Karume ndiye alikuwa mjinga. Angekuwa mjanja angeukataa Muungano kama Kenyatta alivyoukataa.Kwa hiyo mtu Kama wewe unamuita nyerere mjinga daaah😄😄
Hakuna sehemu nimetaja TISS hapo mkuu, nilichosisitiza ni kwamba SHH hawezi kuuvunja muungano kivyakevyake kwa kutegemea hako ka kiti ka urais, HAWEZI.Mbona mnapenda sana kukuza nguvu ya TISS, kikwete alipowapa katiba mpya inayotambua Zanzibar kama nchi yenye mamlaka kamili JK alikufa? In fact mpaka kura ya maoni ikapigwa na muundo wa serikali ukabadilishwa kuwa SUK kuna mtu alikufa??
Nchi hii Rais ndio ana sauti ya mwisho ndio maana mlikataa chanjo Samia kasema chanjo lazima na hamna kitu mmemfanya. Hao TISS ni makada wa CCM sio kwamba wako pale kwa maslahi Yako wewe.
Ubaguzi.
Zanzibar haina historia hiyo. Hata hayo mnayoita mapinduzi yalifanywa na watu waliovamia Zanzibar kama mganda Okello.
Acheni hoja chonganishi kwa Mhe. Rais. Ni watu wenye akili ndogo tu wanaofikiria Dola ya Tanzania inaweza kuundwa upya. Wewe mleta mada hujui kuvunja Muungano ni uhaini? Halafu unamhusishaje Mkuu wa nchi, Rais na Amiri Jeshi Mkuu? Suala la Dola ya Tanzania siyo la kisiasa. Wala nchi hii haiwezi kuundwa upya. Ilishaundwa na waasisi wetu.#Tulete hoja za kujenga nchi na tumuache Mhe. Rais afanye kazi.🙏🙏🙏
Mbona kuna visiwa vya Komoro havijaungana ila ni nchi moja
Zama za tanganyika kuikalia kijeshi Zanzibar zimeisha elewa hivyo., tunataka kuona kama Mama anaumizwa na Zanzibar basi afanye hima hima huu ndio muda, wenye chuki na fikra za mchongameno tuone maumivu yao, nyerere alikuwa binadamu si zaidi ya chochote
Wewe unadhani mamluki walijileta?
Paskali ana kipaji cha kuona mbali !! Huu ndio ukweli ! Mapungufu mengine hayo kila binadamu ana yake !!Kangaruuuuuu Koti?
Uchogoni !! Duh !Unaishi dunia ipi mkuu, Rais wa zanzibar ili asafiri nje ya nchi kikazi kibali lazima kitoke uchogoni/tanganyika, mamlaka kamili yako wapi apo
No problem, mama hajui ubinafsi.Ukiipa mamlaka Zanzibar hutakwepa kuipa mamlaka Tanganyika.
Itatupasa watanganyika tufanye uchaguzi wa Rais wetu.
Na kama hali ndio hiyo itatubidi tuwe na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tz, kwakuwa aliyepo atakua wa utaratibu wa Zamani tutapaswa kufanya uchaguzi kwa utaratibu mpya. Hivyo nafasi yake itaathirika.
Huo ni wasi wasi usio na mashiko, na nitatoa mifano; Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Kongo, Zambia, Malawi na Msumbiji ni nchi huru tumepakana nao kwa ardhi ni mpaka upi wa hatari kuliko mwingine kwangu mimi naona ardhi ni hatari zaidi. Pili kama haya ndio matakwa yao wewe Mtanganyika unazuiaje au uhatarishi unatoka wapi (enzi zile za Cold war umepita kama wao wanataka kuurudisha Usultani sisi unatuhusu nini?) mfano mwingine COMORO ni taifa huru just nearby. Ni bora wakawa na serikali yao kamili na sisi tukawa na yetu na kama kuna haja ya ushirikiano maalum basi uwekwe kwa maslahi ya wote, tunaweza kushirikiana through EAC kwa mfano. Sio kuwaburuza. Kwa Technolojia ya sasa, makombora ya masafa marefu/mafupi ni nani alie salama ukaribu au umbali sio kigezo tena cha usalama. Kigezo kikubwa cha usalama ni kuishi na wengine kwa kuheshimiana bila kuumizana (win win situation).Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.
Kwenu Tiss.
Huyu ni rais ana wajomba zake oman. Kwa kauli yake alipotaka kuingia siasa lengo lake alikua aingie upinzani. Kwa kule zanzibar upinzani inaeleweka wakati huo ilikua cuf. Sio siri cuf na maalim seif lengo lao lilikua ni kuipatia zanzibar uhuru kamili wenye kiti baraza la umoja wa mataifa.Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.
Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!
Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.
Kwenu Tiss.