econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Anajiamini kwa sababu jeshi lipo upande wa chama chake.
Hajiamini, ndio maana aliburuta jeshi kwenye uchaguzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajiamini kwa sababu jeshi lipo upande wa chama chake.
Ukiwa na majeshi yote katika chama chako hauwezi kosa jiamini hizo ndizo haiba za watu madikteta na vyama vya kidikteta.Hajiamini, ndio maana aliburuta jeshi kwenye uchaguzi.
Miaka yote wamekuwa wakitumika toka utawala wa awamu ya kwanza mpaka sasa hakuna jipya ni muendelezo tu.Anataka kuwatumia kuiba Kura, yaani ndio njia pekee ilio bakia
Watanzania sio wakenya.Kenya walipeleka Jeshi mtaani still raia wakaandamana sasa Samia anazania tunawaogopa wanajeshi
We poyoyo, hiyo Hasina Yuko wapi? Alikimbia Hadi kkasahau magagulo yake,Ndio safi hata Bangladesh Wapinzani Wakuu wamesusa lakini Shekh Yasina ameshinda na maisha yanaendelea.
Vyama vingine vitashiriki, Chadema ndio nani kwenye Nchi hii?
Ndio safi hata Bangladesh Wapinzani Wakuu wamesusa lakini Shekh Yasina ameshinda na maisha yanaendelea.
Vyama vingine vitashiriki, Chadema ndio nani kwenye Nchi hii?
We dada mmeo unamhudumia saa ngapi, kutwa unaiwaza chadema tuu!Watani zangu CHADEMA wataanza kulialia kama kawaida yao.maana wamezoea malalamiko na kulialia kama vifaranga vya kuku vilivyotelekezwa
Mada ni ya lini?We poyoyo, hiyo Hasina Yuko wapi? Alikimbia Hadi kkasahau magagulo yake,
🤣🤣🤣🤣Watani zangu CHADEMA wataanza kulialia kama kawaida yao.maana wamezoea malalamiko na kulialia kama vifaranga vya kuku vilivyotelekezwa