Hili lijamaa phaller sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hao vijana ni wajasiri, wenye kuthubutu, wanajiamini na hawaogopi mtu yeyote yule........isipokuwa raisi tu, of course! Mwenye sifa hizo, unamuhitaji sana kipindi hiki:
Watazuia, kikamilifu na bila uoga, chokochoko zozote zile zenye nia mbaya na hivyo kukupatia pumziko la akili (amani) itakayokuwezesha kupanga mipango yako madhubuti ya kimaendeleo.
Nawasilisha, ukifutwa uzi basi nitaendelea kujilalia tu!
Naomba jina la huyo askari anayeangalia m.a.k.a.l.io ya RC
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu anatakiwa kiongozi mwenye busara na sio ujaairi mavi, vinginevyo ampe Sabaya kabisa...muachage upunguani
Bila samahani, kwani tafsiri ya ujinga inategemea na mjinga anaetafsiriHuu ni ujinga, samahani lakini.
Ulinzi unafraid 100% huyo! Mangalore vzr......busara zimo, mdomo wake unaweza kusubiri kuongea n.kKwani kuna chokochoko?? Mama hana muda wa kupumzika?? Unataka Simbachawene atolewe? Utasubiri sana
Yeah, imegawanywa km huelewi maana ya neno 'au'Wizara ya mambo ya ndani ni kubwa sana, naona ingegawanywa mara mbili
Basi nina nafuu nikilinganishwa nawe ambae ni 'ngese' per se!Hili lijamaa phaller sana
Ni sahihi kuna kipindi unahitaji watu wa hivyo Ili Nchi iende kwa sababu tumefika mahala kila mtu ana sharubu na anaweza kutoa tamko,kupinga nkhao vijana ni wajasiri, wenye kuthubutu, wanajiamini na hawaogopi mtu yeyote yule........isipokuwa raisi tu, of course! Mwenye sifa hizo, unamuhitaji sana kipindi hiki:
Watazuia, kikamilifu na bila uoga, chokochoko zozote zile zenye nia mbaya na hivyo kukupatia pumziko la akili (amani) itakayokuwezesha kupanga mipango yako madhubuti ya kimaendeleo.
Nawasilisha, ukifutwa uzi basi nitaendelea kujilalia tu!