Rais Samia, jipunguzie kazi kwa kumuweka Makonda au Nape kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani

Sisi Watanzania ni watu wa ajabu sana. Tunataka Raisi aendeshe nchi kwa ubabe na hofu
Ni kweli, sisi ni wa ajabu mno maana akitokea asiyeendesha nchi kwa namna hiyo huitwa dhaifu, anaendeshwa, hana maono n.k., mwishowe hufanyiwa kila aina ya vitimbi ashindwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…