Rais Samia: Kabla sijaingia, biashara na Kenya ilikuwa ngumu. Asema kuchoma vifaranga wa Kenya yalikuwa makosa

Yeye si alikuwa makamu wa Rais, alitoa ushauri gani? Aache unafiki
Hapa ndipo ninapowashangaa Watanzania...makamu wa Rais analalamikia utendaji wa aliyekuwa Rais wake. Kama huyo Rais angekuwa bado yuko hadi hivi leo, huyu huyu mlalamikaji angeendelea kuwa makamu wake na hangelalamika!

Namfikiria aliyekuwa makamu wa Adolph Hitler! Bila shaka ingekuwa Tanzania angepona na hata Urais labda angepewa! Baada ya kupewa Urais na yeye angeanza kumlalamikia aliyekuwa Rais na Wajerumani wangetulia tu na kumsifia, really?

Tanzania, Tanzania!
Nakupenda kwa moyo wote
Nchi yangu, Tanzania
Jina lako ni tamu sana
Nilalapo nakuota wewe
Niamkapo ni heri mama wee
Tanzania, Tanzania!
Nakupenda kwa moyo wote
 
Tukio lilitokea akiwa wapi?
Aache mipasho afanye kazi inayotakiwa kufanywa na hizi mambo kama hizi zimeongeza kumpunguzia credibility, hata akiongea hivi haijengi chochote kwa mtanzania
Tafsiri yake ni kwamba alikuwepo, ila hakushiriki ule uhuni, kila mtu anaijua Katiba ya Tanzania, Rais ni mungu mtu, angeanzia wapi kumpinga JIWE, yeye mwenyewe kamtumbua Waziri juzi kisa hajakuliana na maamuzi ya Serikali yake, Tanzania ni full drama ndugu yangu.
 
Sioni kama inatija kusimama kwake kwenye majukwaa na kuanza kufukua makaburi, haimuingezei ushawishi kwenye UMMA ingekuwa hii technic ya kufukua makaburi inafanya kazi matunda yangeonekana .

Focus aipeleke kutatua changamoto za watanzania.

NB: Marehemu akifa hazungumzi, politicians from third world countries don't trust a word from them
 
Hapo kabla wakenya vibali vya kuishi vikiisha hawakupata na wakawa wanalia ,leo hii wameishika mamlaka ya kazi wana renew vibali na kula asali yetu pasipo na sababu.wana vyuo wetu wa kati na ufundi wanataabika sana .MAMA hajaitembelea nchi na kujua kuwa TZ ni lulu kwa wakenya,wanaija,wahindi,na wapakustani.
 
Kuna ukatili kwenye kuchoma kitoweo??

Wale si kuku wa nyama au?? Ila hata kama ni wa mayai mwisho wa siku wakizeeka wanachinjwa tu.

Siasa nyingine hazina maana kabisa.
 
Huu ndio ukweli na in fact hata wakulima tulipata hasara Sana wakati wa Jiwe kwenye Mazao yetu aisee..
 
Wanakula asali bila sababu,asali gani hiyo? Kwani hawalipii?
 
Ni uhuni upi huo alioshiriki na hautaji maana upo??

Au anataka kutuaminisha kuwa yeye ni malaika jambo ambalo sio kweli??
 
Ni uhuni upi huo alioshiriki na hautaji maana upo??

Au anataka kutuaminisha kuwa yeye ni malaika jambo ambalo sio kweli??
Jiwe alikuwa mhuni ndio maana aligombana na majirani wote kasoro Museven na Chakwera wengine wote walimuona Ni idiot
 
Kuna namna Hayati Rais Magufuli anachafuliwa kwanini Rais Samia akiri kosa ambalo lilifanywa na Serikali ya ccm ambayo yeye mwenyewe Rais Samia kwa kipindi hicho alikuwa Makamu wa Rais au ndio tuseme bado mzimu wa Rais Magufuli unawaandama.
Kwani kukiri kosa ndio kumchafua Mwendazake?

Who is Mwendazake asichafuliwe? Hata uviko alizingua na Rais SSH alimchana live
 
Ni uhuni upi huo alioshiriki na hautaji maana upo??

Au anataka kutuaminisha kuwa yeye ni malaika jambo ambalo sio kweli??
Binadamu ubinafsi umetujaa, kila baya tunataka liwe la mwingine, Magufuli hayupo so ana uhuru wa kuongea kila kitu na hakuna wa kumnyamazisha.
 
Sio EAC Sasa,mifigo wetu wangapi wanavuka mpaka?hasa ng'ombe huwa wanachinjwa?

Maana Jiwe alitaifisha Hadi mifugo
 
Wapi ambaopo Haki comply? Watu kuvusha kwa magendo ili kukwepa ushuru sio kwamba ndio hakikomply..

Jiwe alidanganywa kwamba eti Yuko kwenye Vita ya kiuchumi 😂😂😂😂
 
Umeme kaharibu huyo huyo aliyechoma vifaranga. Haya ni matokeo tu
Yanaropoka bila hata Aibu,Matilioni yaliyowekezwa kwenye bwawa yangewekwa kwenye gas saiz tungekuwa tunauza umeme South Africa..

Ila kwa sababu ya Rais Mjinga ndio Nchi inaingia kwenye balaa Sasa hivi..
 
Magu alikuwa na satanic blended mind!
Like jamaa Bora lilijifia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…