Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Ndiyo black skin yenyewe na black spiritMnafiki sana, yeye kama mshauri wake akifanya nini?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo black skin yenyewe na black spiritMnafiki sana, yeye kama mshauri wake akifanya nini?.
Villingizwa nchini bila ya kufuata taratibu za sheria, unatakiwa uwe na certificate za mamlaka ya nchi vilipotoka ya kuwa havina magonjwa, muuzaji nae awe na kibali cha ku-export na viingilie mipaka rasmi.Vifaranga waliochomwa walipatikana na nini?
Ulitaka auliwe na yule nduli?Mbona hakusema kipindi kile?
,🤣Huyu alikuwa kiazi kichwani ndio maana hayati aliweka kama sanamu.
Jiwe alikuwa shetani na nusuHuyu mama anataka kuficha weakness zake kupitia makosa ya JPM.
Twende mbele turudi nyuma Jiwe alikuwa na roho mbaya na muuaji, ndiyo maana kila kitu kiovyu watu wanamsukumia yeyeVitu vingine ni kumchafua Magufuli haonekane hakufaa, Magufuli anausika nanini kuhusu kuchoma vifaranga? hayo Mambo angeulizwa Waziri wa mifugo na maafisa mifugo, wakati vifaranga vinachomwa yeye alikuwa Ikuru na kushughuli zake pengine alikuja kupata tarifa mambo yameisha tokea,Mimi mwenyewe iliisha wahi kunitokea,nilikamatwa na Mabwana Hafyia wa Samaki,nikaombwa kibali cha kusafirisha hao Samaki,nikawaonyesha kumbe hawana tatizo na kibali wao wanataka rushwa,wakataka ela nyingi nikawakatalia waliona nawakatalia,wakachukua wale Samaki wakawamwagia mafuta ya taa na kuwateketeza eti walikuwa hawafahi kuliwa,hivi kweli ninaweza kutoka hapo ninasema Magufuli ameteketeza Samaki wangu.Mengine tunawatwisha mizigo Rais ambayo hawayafahamu.
Sukuma gang mtapata tabu sanaYeye vipi Serikali yake ilipowaacha watu wa ajali ya ndege masaa matatu wakiwa wamefunikwa na maji hadi kufa kule Kagera? Anaona liko sawa? Kwa vifaranga ndio kinamuuma.
Mama yupo kwenye harakati za mfa maji. Uongozi umemshinda kila kitu kinaenda halijojo.
Tulivyokuwa na matatizo ya maji, umeme na bei ya vyakula angekuwa na muda wa kushughulika nayo wala asingekumbuka habari ya vifaranga vya kuku.
Kama ana guts azungumzie namna Kenya walipokuwa wanasema tanzanite inatoka Kenya.
Huyu ukuu wa mkoa haweziFanyeni kazi mwacheni marehemu apumzike hapa tupo gizani basi muone hata vibaya basi
Hayo ni mazazo yako na maoni yako na sio kwa woteJiwe alikuwa shetani na nusu
Arusha akiwa anaongea na mawakili wa wanasheria wa Afrika mashariki...Tukio lilitokea akiwa wapi?
Aache mipasho afanye kazi inayotakiwa kufanywa na hizi mambo kama hizi zimeongeza kumpunguzia credibility, hata akiongea hivi haijengi chochote kwa mtanzania
Ili yule jamaa amuue?Mbona hakusema kipindi kile?
Angemshauri kajua yote?Unapenda ushari.Yeye si alikuwa makamu wa Rais, alitoa ushauri gani? Aache unafiki
Unaloweza kuzuia kwa mikono yako unazuwia, usipoweza kuzuia kwa mikono yako unazuwia kwa kulisemea kwa mdomo wako, usipoweza kulisemea unabaki kulichukia moyoni mwako.Yeye si alikuwa makamu wa Rais, alitoa ushauri gani? Aache unafiki
"Mimi ukinishauri ndio una haribu...." hakutaka wala kupenda kushaurika.Yeye si alikuwa makamu wa Rais, alitoa ushauri gani? Aache unafiki