Claude Henry
JF-Expert Member
- May 25, 2017
- 323
- 350
Hakuwa Raia namba moja, wewe unaweza kumpinga baba yako hadharani?Mbona hakusema kipindi kile?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuwa Raia namba moja, wewe unaweza kumpinga baba yako hadharani?Mbona hakusema kipindi kile?
Hapa ndipo ninapowashangaa Watanzania...makamu wa Rais analalamikia utendaji wa aliyekuwa Rais wake. Kama huyo Rais angekuwa bado yuko hadi hivi leo, huyu huyu mlalamikaji angeendelea kuwa makamu wake na hangelalamika!Yeye si alikuwa makamu wa Rais, alitoa ushauri gani? Aache unafiki
Tafsiri yake ni kwamba alikuwepo, ila hakushiriki ule uhuni, kila mtu anaijua Katiba ya Tanzania, Rais ni mungu mtu, angeanzia wapi kumpinga JIWE, yeye mwenyewe kamtumbua Waziri juzi kisa hajakuliana na maamuzi ya Serikali yake, Tanzania ni full drama ndugu yangu.Tukio lilitokea akiwa wapi?
Aache mipasho afanye kazi inayotakiwa kufanywa na hizi mambo kama hizi zimeongeza kumpunguzia credibility, hata akiongea hivi haijengi chochote kwa mtanzania
Sioni kama inatija kusimama kwake kwenye majukwaa na kuanza kufukua makaburi, haimuingezei ushawishi kwenye UMMA ingekuwa hii technic ya kufukua makaburi inafanya kazi matunda yangeonekana .Tafsiri yake ni kwamba alikuwepo, ila hakushiriki ule uhuni, kila mtu anaijua Katiba ya Tanzania, Rais ni mungu mtu, angeanzia wapi kumpinga JIWE, yeye mwenyewe kamtumbua Waziri juzi kisa hajakuliana na maamuzi ya Serikali yake, Tanzania ni full drama ndugu yangu.
Huu ndio ukweli na in fact hata wakulima tulipata hasara Sana wakati wa Jiwe kwenye Mazao yetu aisee..Rais Samia amesema amri ya kuchoma vifaranga 6400 vilivyoingizwa kutoka Kenya miaka mitano iliyopita ilikuwa sio sawa.
Rais Samia kasema hawakushulikia vizuri uingizaji ule wa vifaranga maana pia vifaranga vinavyo haki ya kuishi.
Rais Samia alizungumza haya wakati akiongea na mawakili wa ukanda ya Afrika Mashariki.
"Afrika Mashariki tuna soko la pamoja ambalo linatusaidia kufanya biashara zetu, tunakubaliana kwenye mambo ya customs na taxation lakini we had a lot of NTB's na ni tariff barriers ambazo mnajitahidi kuzifanyia kazi kuziondosha.
Ni kitu kidogo tu, ni mmoja kutoka kwenda kwa mwingine. Wakati mimi sikuingia, biashara yetu na Kenya ilikuwa ngumu sana, ngumu sana. Fika vifaranga mipakani pale, makaratasi hayasomi vizuri, vimetoka wapi haisemi vizuri, kunapita vifungu vya sheria as if sheria is everything. No no no sheria hairuhusu, solution hata hatuogopi dhambi, choma hivyo vifaranga.
Tumejisahau, vifaranga pia ni viumbe vya Mungu, walikuwa na life tukachoma"
Alisema Rais Samia
View attachment 2427229
Wanakula asali bila sababu,asali gani hiyo? Kwani hawalipii?Hapo kabla wakenya vibali vya kuishi vikiisha hawakupata na wakawa wanalia ,leo hii wameishika mamlaka ya kazi wana renew vibali na kula asali yetu pasipo na sababu.wana vyuo wetu wa kati na ufundi wanataabika sana .MAMA hajaitembelea nchi na kujua kuwa TZ ni lulu kwa wakenya,wanaija,wahindi,na wapakustani.
Ni uhuni upi huo alioshiriki na hautaji maana upo??Tafsiri yake ni kwamba alikuwepo, ila hakushiriki ule uhuni, kila mtu anaijua Katiba ya Tanzania, Rais ni mungu mtu, angeanzia wapi kumpinga JIWE, yeye mwenyewe kamtumbua Waziri juzi kisa hajakuliana na maamuzi ya Serikali yake, Tanzania ni full drama ndugu yangu.
Umeandika ujingaKuna ukatili kwenye kuchoma kitoweo??
Wale si kuku wa nyama au?? Ila hata kama ni wa mayai mwisho wa siku wakizeeka wanachinjwa tu.
Siasa nyingine hazina maana kabisa.
Jiwe alikuwa mhuni ndio maana aligombana na majirani wote kasoro Museven na Chakwera wengine wote walimuona Ni idiotNi uhuni upi huo alioshiriki na hautaji maana upo??
Au anataka kutuaminisha kuwa yeye ni malaika jambo ambalo sio kweli??
Kwani kukiri kosa ndio kumchafua Mwendazake?Kuna namna Hayati Rais Magufuli anachafuliwa kwanini Rais Samia akiri kosa ambalo lilifanywa na Serikali ya ccm ambayo yeye mwenyewe Rais Samia kwa kipindi hicho alikuwa Makamu wa Rais au ndio tuseme bado mzimu wa Rais Magufuli unawaandama.
Binadamu ubinafsi umetujaa, kila baya tunataka liwe la mwingine, Magufuli hayupo so ana uhuru wa kuongea kila kitu na hakuna wa kumnyamazisha.Ni uhuni upi huo alioshiriki na hautaji maana upo??
Au anataka kutuaminisha kuwa yeye ni malaika jambo ambalo sio kweli??
Sio EAC Sasa,mifigo wetu wangapi wanavuka mpaka?hasa ng'ombe huwa wanachinjwa?Vifaranga tu, watu wanachinja mazizi ya ng'ombe mkoa mzima wakipatikana wachache tu wenye ‘mad cow’ disease na kuwapa hasara wafugaji ya kufa mtu.
Export ya mifugo ina taratibu zake ukivunja hakuna negotiations kwenye wasimamizi makini. Hata paka na mbwa wa ndani nchi za wenzetu akitoka tu nje ya nchi kurudi lazima awe amechomwa vaccination ya rabies vinginevyo haingii.
Seuse mtu anaeingiza vyakula wakati sheria ipo wazi inataka certification yenye kuonyesha hawana magonjwa, halafu unatetea uvunjifu wa sheria.
Ili iwaje? Hata hivyo alitaka kuachia akaambiwa Tulia Jiwe Ni mdogo kuliko Nchi.Angeachia ngazi
Wapi ambaopo Haki comply? Watu kuvusha kwa magendo ili kukwepa ushuru sio kwamba ndio hakikomply..Kuna uwezekano hajui kuwa ni sheria ya kimataifa chakula chochote ambacho haki comply na sheria ya nchi inayopokea chakula hicho huwa hakirudishwi nchi kilikotoka bali huharibiwa pale pale. Wale vifaranga nafikiri walikuwa hawana kibali cha kuingia TZ kutokana na tatizo la mafua ya ndege duniani hivyo ilikuwa lazima vichomwe moto na wala si mara ya kwanza vyakula kuharibiwa hapa nchini. Vyakula vimekuwa vikichomwa moto mara nyingi tu. Kama ngano, mchele nk. Wasaidizi wake wamsaidie kuelewa. Hivyo aliyeshughulikia vifaranga hivyo nafikiri alifuate sheria kama ilivyo.
Yanaropoka bila hata Aibu,Matilioni yaliyowekezwa kwenye bwawa yangewekwa kwenye gas saiz tungekuwa tunauza umeme South Africa..Umeme kaharibu huyo huyo aliyechoma vifaranga. Haya ni matokeo tu
Ni kweli, ila kwa wengi ndivyo alivyokuwa, sukuma gang ndiyo walimuona mungu waoHayo ni mazazo yako na maoni yako na sio kwa wote
Kama ule mzoga wa mzazi wakoMagu alikuwa na satanic blended mind!
Like jamaa Bora lilijifia