Angeachia ngaziAngefanya nini? Boss akiamua ameamua, ushauri si lazima uchukuliwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angeachia ngaziAngefanya nini? Boss akiamua ameamua, ushauri si lazima uchukuliwe
Wapewe fidia. Bora wangesema kuwa sio Bora timu za watalaamu zikae zibishane kisayansi kwa data zilizopo ama walizopata due to scientific experimentRais Samia amesema amri ya kuchoma vifaranga 6400 vilivyoingizwa kutoka Kenya miaka mitano iliyopita ilikuwa sio sawa.
Rais Samia kasema hawakushulikia vizuri uingizaji ule wa vifaranga maana pia vifaranga vinavyo haki ya kuishi.
Rais Samia alizungumza haya wakati akiongea na mawakili wa ukanda ya Afrika Mashariki.
"Afrika Mashariki tuna soko la pamoja ambalo linatusaidia kufanya biashara zetu, tunakubaliana kwenye mambo ya customs na taxation lakini we had a lot of NTB's na ni tariff barriers ambazo mnajitahidi kuzifanyia kazi kuziondosha.
Ni kitu kidogo tu, ni mmoja kutoka kwenda kwa mwingine. Wakati mimi sikuingia, biashara yetu na Kenya ilikuwa ngumu sana, ngumu sana. Fika vifaranga mipakani pale, makaratasi hayasomi vizuri, vimetoka wapi haisemi vizuri, kunapita vifungu vya sheria as if sheria is everything. No no no sheria hairuhusu, solution hata hatuogopi dhambi, choma hivyo vifaranga.
Tumejisahau, vifaranga pia ni viumbe vya Mungu, walikuwa na life tukachoma"
Alisema Rais Samia
View attachment 2427229
Inasikitisha sana na doa lisiloisha, awamu ya tano na Nduli Amin ni kitu kimoja.Rais Samia amesema amri ya kuchoma vifaranga 6400 vilivyoingizwa kutoka Kenya miaka mitano iliyopita ilikuwa sio sawa.
Rais Samia kasema hawakushulikia vizuri uingizaji ule wa vifaranga maana pia vifaranga vinavyo haki ya kuishi.
Rais Samia alizungumza haya wakati akiongea na mawakili wa ukanda ya Afrika Mashariki.
"Afrika Mashariki tuna soko la pamoja ambalo linatusaidia kufanya biashara zetu, tunakubaliana kwenye mambo ya customs na taxation lakini we had a lot of NTB's na ni tariff barriers ambazo mnajitahidi kuzifanyia kazi kuziondosha.
Ni kitu kidogo tu, ni mmoja kutoka kwenda kwa mwingine. Wakati mimi sikuingia, biashara yetu na Kenya ilikuwa ngumu sana, ngumu sana. Fika vifaranga mipakani pale, makaratasi hayasomi vizuri, vimetoka wapi haisemi vizuri, kunapita vifungu vya sheria as if sheria is everything. No no no sheria hairuhusu, solution hata hatuogopi dhambi, choma hivyo vifaranga.
Tumejisahau, vifaranga pia ni viumbe vya Mungu, walikuwa na life tukachoma"
Alisema Rais Samia
View attachment 2427229
Ushauri kwa yule mwendawazimu ulikuwa ni kosa la jinai,acha mama apumue.Yeye si alikuwa makamu wa Rais, alitoa ushauri gani? Aache unafiki
Magufuri ndiyo mhusika mkuu na si mtu mwingine alichokuwa amebariki kilitekezwa kwa amri yake,kumbuka mambo ya Sabaya mahakamani alikiri pasipo na shaka kuwa alikuwa anatekeleza yale aliyokuwa ametumwa na jiwe,kupora mali za watu,kuua watu nk.Vitu vingine ni kumchafua Magufuli haonekane hakufaa, Magufuli anausika nanini kuhusu kuchoma vifaranga? hayo Mambo angeulizwa Waziri wa mifugo na maafisa mifugo, wakati vifaranga vinachomwa yeye alikuwa Ikuru na kushughuli zake pengine alikuja kupata tarifa mambo yameisha tokea,Mimi mwenyewe iliisha wahi kunitokea,nilikamatwa na Mabwana Hafyia wa Samaki,nikaombwa kibali cha kusafirisha hao Samaki,nikawaonyesha kumbe hawana tatizo na kibali wao wanataka rushwa,wakataka ela nyingi nikawakatalia waliona nawakatalia,wakachukua wale Samaki wakawamwagia mafuta ya taa na kuwateketeza eti walikuwa hawafahi kuliwa,hivi kweli ninaweza kutoka hapo ninasema Magufuli ameteketeza Samaki wangu.Mengine tunawatwisha mizigo Rais ambayo hawayafahamu.
Mwendawazimu zaidi ni yule anyekubali uteuzi wa mwendawazimu kuwa mshauri wakeUshauri kwa yule mwendawazimu ulikuwa ni kosa la jinai,acha mama apumue.
Alikuwa na chiki na Kenyata, kwenye kampeni Odinga alisema nichagueni nitaongoza kama Magufuli. Kenyata akasema mnataka muongozwa kidikteta, magazeti yazuiwe, vyama vya upinzani viziwe? Jiwe akajenga kisasi. Lilikuwa likichaa Sana!Fikra mfu kabisa kutoka kwa asiyeelewa kitu.
Haya, tukubali vifaranga walikuwa na ugonjwa. Wangefungiwa mahali bado ugonjwa ungesambaa nchini? Hata hivyo hakuna mtu yeyote, aliyefanya vipimo vyovyote juu ya afya ya wale vifaranga.
Yule kichaa wetu alikurupuka tu na kusema, "choma moto". Akakurupuka tena, "hao ng'ombe wote waliokanyaga ardhi ya Tanzania, taifisha wote, hili siyo shamba la bibi".
Yule mtu alikuwa mgonjwa, hata baba zake wadogo wana ugonjwa huo huo wa akili, wapo pale Bukoba. Inaonekana ni tatizo ambalo lipo kwenye ukoo wao. Tatizo ni mifumo yetu. Iliwezekana vipi mtu ambaye aliwahi kuugua tatizo la akili, huku kukiwa na matendo yake mengi yanayotia shaka ukamilifu wa akili yake, anapenya mpaka kuja kupewa nafasi ya juu ya uongozi. Kosa siyo la mgonjwa, bali walio wazima.
Waliambukizwa ukichaa na jiwe!Kipindi hicho watendaji walifanya mambo kwa mzuka sana. Ndiyo pamoja na uchomaji nyavu, kupasua mitumbwi, kukamata ng'ombe na kutaifisha za wafugaji, kuvamia account za watu. Kwa ujumla kilikuwa Kipindi kigumu sana.
Leo kote huko kama hawapo?!. Ulikuwa ni upuuzi.
Waambie ukweli hawa mapimbi!Ukiwa kiongozi mkuu. Mambo yafanyika ya hovyo na hukemei wala kuwawajibisha wahusika. Ni kuwa umeshiriki kutenda jambo hilo.
Kwani Amini aliua watu mwenyewe?! Wasaidizi
Kuna uwezekano hajui kuwa ni sheria ya kimataifa chakula chochote ambacho haki comply na sheria ya nchi inayopokea chakula hicho huwa hakirudishwi nchi kilikotoka bali huharibiwa pale pale. Wale vifaranga nafikiri walikuwa hawana kibali cha kuingia TZ kutokana na tatizo la mafua ya ndege duniani hivyo ilikuwa lazima vichomwe moto na wala si mara ya kwanza vyakula kuharibiwa hapa nchini. Vyakula vimekuwa vikichomwa moto mara nyingi tu. Kama ngano, mchele nk. Wasaidizi wake wamsaidie kuelewa. Hivyo aliyeshughulikia vifaranga hivyo nafikiri alifuate sheria kama ilivyo.Kuna namna Hayati Rais Magufuli anachafuliwa kwanini Rais Samia akiri kosa ambalo lilifanywa na Serikali ya ccm ambayo yeye mwenyewe Rais Samia kwa kipindi hicho alikuwa Makamu wa Rais au ndio tuseme bado mzimu wa Rais Magufuli unawaandama.
Walifuata sheria. Usipofuate sheria ndio maana panakuwa na upendeleo mtu kula kwa urefu wa kamba yake.Waliambukizwa ukichaa na jiwe!
Mnafiki sana, yeye kama mshauri wake akifanya nini?.Tulisema same words tukashambuliwa sana
Sheria ya Magu hiyo acha kupotosha watu.Kuna uwezekano hajui kuwa ni sheria ya kimataifa chakula chochote ambacho haki comply na sheria ya nchi inayopokea chakula hicho huwa hakirudishwi nchi kilikotoka bali huharibiwa pale pale. Wale vifaranga nafikiri walikuwa hawana kibali cha kuingia TZ kutokana na tatizo la mafua ya ndege duniani hivyo ilikuwa lazima vichomwe moto na wala si mara ya kwanza vyakula kuharibiwa hapa nchini. Vyakula vimekuwa vikichomwa moto mara nyingi tu. Kama ngano, mchele nk. Wasaidizi wake wamsaidie kuelewa. Hivyo aliyeshughulikia vifaranga hivyo nafikiri alifuate sheria kama ilivyo.
Sheria gani sheria za ukandamizaji kama kupora fedha za wafanyabiashara,kuchoma vifaranga,kumpinga mbunge risasi mchana kweupe,kuteka watu na kubambikia watu makosa ya uongo,Mwovu ni mwovu tu Magufuri alikuwa mwovu kupindukia.Walifuata sheria. Usipofuate sheria ndio maana panakuwa na upendeleo mtu kula kwa urefu wa kamba yake.
Sheria zote zinatungwa na bunge acha ufala! Kama huzitaki nenda kazipinge bungeni la sivyo utabaki unalalamika JF tu. Ni kweli Magufuli alikuwa achezi na kima kama wewe ukiingia kwenye 18 zake lazima uondoke na maji nafikiri hata wewe uliingia kwenye 18 zake.Sheria gani sheria za ukandamizaji kama kupora fedha za wafanyabiashara,kuchoma vifaranga,kumpinga mbunge risasi mchana kweupe,kuteka watu na kubambikia watu makosa ya uongo,Mwovu ni mwovu tu Magufuri alikuwa mwovu kupindukia.
Watalala na viatu tena. Maana ameisme mwenye nyumba mwenyewe sio Keyboard warriors kama wanavyodaiLegasi Imeguswa Daaah .Push Gang lazima watoke mafichoni.
Sheria za bunge mkuuSheria ya Magu hiyo acha kupotosha watu.
Bunge la fala Magufuri pumbavu,alichagua Wabunge wa kulinda himaya yake.Sheria zote zinatungwa na bunge acha ufala! Kama huzitaki nenda kazipinge bungeni la sivyo utabaki unalalamika JF tu. Ni kweli Magufuli alikuwa achezi na kima kama wewe ukiingia kwenye 18 zake lazima uondoke na maji nafikiri hata wewe uliingia kwenye 18 zake.
Bunge la mwendazake nalo ni bunge?Sheria zote zinatungwa na bunge acha ufala! Kama huzitaki nenda kazipinge bungeni la sivyo utabaki unalalamika JF tu. Ni kweli Magufuli alikuwa achezi na kima kama wewe ukiingia kwenye 18 zake lazima uondoke na maji nafikiri hata wewe uliingia kwenye 18 zake.