Rais Samia: Kabla sijaingia, biashara na Kenya ilikuwa ngumu. Asema kuchoma vifaranga wa Kenya yalikuwa makosa

Wapewe fidia. Bora wangesema kuwa sio Bora timu za watalaamu zikae zibishane kisayansi kwa data zilizopo ama walizopata due to scientific experiment
 
Inasikitisha sana na doa lisiloisha, awamu ya tano na Nduli Amin ni kitu kimoja.
 
Magufuri ndiyo mhusika mkuu na si mtu mwingine alichokuwa amebariki kilitekezwa kwa amri yake,kumbuka mambo ya Sabaya mahakamani alikiri pasipo na shaka kuwa alikuwa anatekeleza yale aliyokuwa ametumwa na jiwe,kupora mali za watu,kuua watu nk.
 
Alikuwa na chiki na Kenyata, kwenye kampeni Odinga alisema nichagueni nitaongoza kama Magufuli. Kenyata akasema mnataka muongozwa kidikteta, magazeti yazuiwe, vyama vya upinzani viziwe? Jiwe akajenga kisasi. Lilikuwa likichaa Sana!
 
Kuna namna Hayati Rais Magufuli anachafuliwa kwanini Rais Samia akiri kosa ambalo lilifanywa na Serikali ya ccm ambayo yeye mwenyewe Rais Samia kwa kipindi hicho alikuwa Makamu wa Rais au ndio tuseme bado mzimu wa Rais Magufuli unawaandama.
Kuna uwezekano hajui kuwa ni sheria ya kimataifa chakula chochote ambacho haki comply na sheria ya nchi inayopokea chakula hicho huwa hakirudishwi nchi kilikotoka bali huharibiwa pale pale. Wale vifaranga nafikiri walikuwa hawana kibali cha kuingia TZ kutokana na tatizo la mafua ya ndege duniani hivyo ilikuwa lazima vichomwe moto na wala si mara ya kwanza vyakula kuharibiwa hapa nchini. Vyakula vimekuwa vikichomwa moto mara nyingi tu. Kama ngano, mchele nk. Wasaidizi wake wamsaidie kuelewa. Hivyo aliyeshughulikia vifaranga hivyo nafikiri alifuate sheria kama ilivyo.
 
Sheria ya Magu hiyo acha kupotosha watu.
 
Walifuata sheria. Usipofuate sheria ndio maana panakuwa na upendeleo mtu kula kwa urefu wa kamba yake.
Sheria gani sheria za ukandamizaji kama kupora fedha za wafanyabiashara,kuchoma vifaranga,kumpinga mbunge risasi mchana kweupe,kuteka watu na kubambikia watu makosa ya uongo,Mwovu ni mwovu tu Magufuri alikuwa mwovu kupindukia.
 
Sheria gani sheria za ukandamizaji kama kupora fedha za wafanyabiashara,kuchoma vifaranga,kumpinga mbunge risasi mchana kweupe,kuteka watu na kubambikia watu makosa ya uongo,Mwovu ni mwovu tu Magufuri alikuwa mwovu kupindukia.
Sheria zote zinatungwa na bunge acha ufala! Kama huzitaki nenda kazipinge bungeni la sivyo utabaki unalalamika JF tu. Ni kweli Magufuli alikuwa achezi na kima kama wewe ukiingia kwenye 18 zake lazima uondoke na maji nafikiri hata wewe uliingia kwenye 18 zake.
 
Bunge la fala Magufuri pumbavu,alichagua Wabunge wa kulinda himaya yake.
 
Bunge la mwendazake nalo ni bunge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…