Rais Samia: Kabla sijaingia, biashara na Kenya ilikuwa ngumu. Asema kuchoma vifaranga wa Kenya yalikuwa makosa

Tumesha zoea maigizo, sasahivi mgao wa umeme wanaita UPUNGUFU wa umeme, wanasema kutakuwa na UPUNGUFU wa umeme sehemu x x x.

Wanaona aibu kutumia neno mgao.
 
Vifaranga waliochomwa walipatikana na nini?
Villingizwa nchini bila ya kufuata taratibu za sheria, unatakiwa uwe na certificate za mamlaka ya nchi vilipotoka ya kuwa havina magonjwa, muuzaji nae awe na kibali cha ku-export na viingilie mipaka rasmi.

Sio ukajinnunulie vifaranga kwa yeyote tu, halafu uviingize kwa njia ya panya, hiyo ni risk kubwa sana ya infection control. Ndio maana kuna taratibu za kisheria usipofuata madhara yenyewe Ndio kama hayo.
 
Twende mbele turudi nyuma Jiwe alikuwa na roho mbaya na muuaji, ndiyo maana kila kitu kiovyu watu wanamsukumia yeye
 
Sukuma gang mtapata tabu sana
 
Fanyeni kazi mwacheni marehemu apumzike hapa tupo gizani basi muone hata vibaya basi
 
Tukio lilitokea akiwa wapi?
Aache mipasho afanye kazi inayotakiwa kufanywa na hizi mambo kama hizi zimeongeza kumpunguzia credibility, hata akiongea hivi haijengi chochote kwa mtanzania
Arusha akiwa anaongea na mawakili wa wanasheria wa Afrika mashariki...
 
Yeye si alikuwa makamu wa Rais, alitoa ushauri gani? Aache unafiki
Unaloweza kuzuia kwa mikono yako unazuwia, usipoweza kuzuia kwa mikono yako unazuwia kwa kulisemea kwa mdomo wako, usipoweza kulisemea unabaki kulichukia moyoni mwako.

Hakunna zaidi ya hayo. Haitatokea Tanzania hii makamu wa Rais akampinga Rais (boss wake) hadharani. Labda kwenye vikao vyao walipingana, utayajuwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…