amadala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,265
- 12,268
Wote Kila mmoja ni ibilisi na mipembe Yake,Pia haiondoi ukweli kwamba JPM alikuwa nusu shetani robo jini na robo nyingine mtu.
Focus iwe kwenye kutatua changamoto za jamii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote Kila mmoja ni ibilisi na mipembe Yake,Pia haiondoi ukweli kwamba JPM alikuwa nusu shetani robo jini na robo nyingine mtu.
Halafu akisema hayo ndio yatatuhakikishia umeme na maji.Tunapoelekea mama atakuja kueleza yafuatayo
1. Alyempiga Lissu Risasi
2. Aliyetunga kesi ya mbowe
3. Aliyefadhili wizi wa kura na kuharibu uchaguzi
4. Aliyekuwa kiongiozi wa wasiojulikana
5. Aliyeiba 2.4T
Mpaka sasa kashasema
1. Wezi wa BOT
2. Waliotunga kesi za kubambikia watu.
3. .....
Si ulimsikia marehemu aliposema,"mimi ukinishauri ndiyo umeharibu kabisa". Tulikuwa na Rais wa ajabu aliyeamini anajua kila kitu.Yeye si alikuwa makamu wa Rais, alitoa ushauri gani? Aache unafiki
Dogo unaanza kujianika soma kwanza ya Chadema jiweke nayo mbali kumbe ndio wewe tushakujuaMama anapinga kila kitu kama CHADEMA
Ilikuwa ni amri ya marehemu.Kuvichoma ilikuwa ukatili ilitakiwa wazuie visiingie nchini virudishwe viliko toka au viwekwe quarantine vipewe chanjo zote, vikaguliwe vigezo vya kuingiza vitu kama vile kama sheria inavyotaka kisha wapigwe faini walio ingiza bila kufuata sheria.
Kuchoma ilikuwa ukatili, pia siamini ama a,mri ilitoka kwa mkuu wa nchi. Kama ndivyo mkuu alikosea.
Ushauri wake ulikuwa haufui dafu mzeeYeye si alikuwa makamu wa Rais, alitoa ushauri gani? Aache unafiki
Absolutely right.Hapa ni kwamba wala sio kupinga kwa nia njema, ila huu mjadala wa vifaranga unalenga kuzima mambo ya msingi yanayoendelea nchini kama mgao wa maji, umeme na gharama za maisha kupanda. Wameona kujadili mlango wa ndege na majaliwa haitoshi waongeze kingine wanachohisi kitakuwa na nguvu
Jumapili iwe siku maalumu ya kuwaomba wakenya msamaha, lakini wakati huo maafisa wote waliochoma waje TBC na watubu na yule aliyeagiza kama yupo kaburini aombewe msamaha!Rais Samia amesema amri ya kuchoma vifaranga 6400 vilivyoingizwa kutoka Kenya miaka mitano iliyopita ilikuwa sio sawa.
Rais Samia kasema hawakushulikia vizuri uingizaji ule wa vifaranga maana pia vifaranga vinavyo haki ya kuishi.
Kuhusu biashara na Kenya, Rais Samia kasema mpaka karibuni ilikuwa ngumu, vikwazo vingi na kuchoma vifaranga ilifanya mambo yawe mabaya.
Rais Samia alizubgumza haya wakati akiongea na mawakili wa ukanda ya Afrika Mashariki.
View attachment 2427229
Kwa akili yako timamu unaamini kwamba kipindi cha Jiwe alikuwepo mtu gani wa kumshauri?!Yeye si alikuwa makamu wa Rais, alitoa ushauri gani? Aache unafiki
Ungekuwa na akili ungeuliza kwanza sababu iliyosababisha vikachomwa.Akili nyingine ni yaajabu sana ,,inakuwaje unachoma Moto viumbe hai bila huruma??? Hata kama mumiliki ameingiza kimakosa haikufaa apigwe faini ili siku nyingine afuate utaratibu!?
Hatuwezi kuunga mkono Jambo hilo!
We na mama yako mmeona vifaranga ila watu waliopotea na waliouawa sio bora kuliko kitoweo.Akili nyingine ni yaajabu sana ,,inakuwaje unachoma Moto viumbe hai bila huruma??? Hata kama mumiliki ameingiza kimakosa haikufaa apigwe faini ili siku nyingine afuate utaratibu!?
Hatuwezi kuunga mkono Jambo hilo!
Fikra mfu kabisa kutoka kwa asiyeelewa kitu.Labda vilibeba ugonjwa unaosambaa kirahisi na vingeachwa vikae ata one hour tuu labda Nchi yetu ingekumbwa na ugonjwa Hatari sana....Nchi kama Australia wao pia hufanya hivyo..Namshauri RAIS afanye Kazi yake jinsi katiba inavyomwelekeza, sio Busara kuwakosoa watendaji/wataalamu waliopatiwa dhamani katika sekta Mbali mbali kwenye Taifa hili tena mbele za wageni...That goes to all political leaders, Kazi yenu ni kusimamia Sheria na kanuni na kupiga siasa katika wakati muafaka..mkiona kuna mtendaji kavunja Sheria, mnayo dhamana ya kumwajibisha kwa kufuata utaratibu na kanuni zilizopo kisheria... acheni tabia ya ku-politicize issues Bila kutumia taarifa na ushauri halali kutoka kwenye Taasisi zenye Authority. Imagine duniani kote viongozi wakuu wa Nchi wanapopata international audience wanaongelea global issues na jinsi ya kuifanya Dunia kuwa sehemu salama kwa kuishi ,sio kuongelea petty issues....Hilo suala la vifaranga ilitakiwa aandaliwe press conference yenye coverage kubwa VET au afisa mifugo wa wilaya aliongelee kitaalamu with enough facts ili ku-counter attack any diplomatic conflict na Hilo suala ndio lingekuwa limeisha..But kwasababu viongozi wetu ni Misters & Mrs know everything wanapenda kujibia kila issue...ndio maana sometimes wanajikuta kwenye firing line za wananchi wenye hasira Kali just because issues zote inaelekea wenyewe ndio wanaozijua na kuzifanya .... its about time wawaache wataalamu wetu watoe ufafanuzi wa kitaalamu, wao wake nyuma na kuongelea maswala ya jumla na kisera..sio waziri au RAIS unajifanya unajua tatizo na solution wakati hujui lolote zaidi ya kukusanya political mileage.
... did it happen or just a mere story? If it happened, who authorized it? If it was wrongly done, was anybody accountable? If none was accountable, who do you think was behind that saga?Do you really, from the deep bottom of your heart believe the guy could sign off on something like that?