Rais Samia kakopa trillion 1 kujenga airport, Hospitali, VETA na Depo ya mafuta Zanzibar

Wale waliotuuza, wajue mwenge uliyowashwa mlima Kilimanjaro lazima uwamulike mchana kweupe.
 
Kwani Pemba sio Tanzania??
 

Zanzibar kama Chatto au kanda pendwa. Kazi na iendelee!
 
Magufuli alipendelea kwao, wache na yye ale nchi.
Kila jambo na wakati wake
 
Dai katiba mpya acheni ujinga, mbona mwendakuzimu alijenga airport chato bila idhini ya bunge??
 
Ila wewe jamaa akili ni kama huna na una Chuki binafsi na Rais.

Unaweza chukuliwa ukathibitishe na hutaweza ila unaropoka tuu.

Hapo taarifa inasema serikali itakopa dola za Marekani til.3 sawa na til.7 kwa miaka 5 ijayo..

Kati ya pesa hizo Zanz.itapata dola mil.450 sawa na bil.900-1til kwa kipindi cha miaka 5 ijayo..

Pesa za Zanji zitajenga airport, hospital s,veta,fuel depot nk..

Sasa til.7-til.1=6 sasa hapo Tanganyika wameonewa? Utakuwa kwa chuki binafsi wewe.
 
Inakera na inaudhi!
 
Mimi sina shida Na maendeleo ya Tanzania iwe ni Pemba au Unguja au CHATO au tandahimba au KATAVI au Kigoma au Handeni provided ni sehemu ya Tanzania am okay. Shida yangu ni kwa wapumbavu wachache wanaitaka kuivuruga hii nchi kwa kujifanya wao ndo wenye nchi ndo wa miliki wa vyama vya siasa ikiwemo ccm. Hawa tupambane nao hawana Nia njema Na nchi yetu. Mfano ni Nape Nnauye huyu siyo wa Kichekea hata kidogo
 
Mama kaona angalau aambulie airport,huu mchezo wa kila mcheza kwao ni hatari sana kwa taifa
 
Kwani ulikuwa hujui kuwa hizi ni nchi MBILI tafauti. Hahahahaha. Wadanganyika bana aaa mmejiachia sanaaa
zimewekwa pamoja na mkataba wa kimataifa (international treat )
 
Akienda kujenga Burundi nistue nisanuke nae.

Madhali Pemba ni sehemu ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania asijenge airport tuu na Bandari aiboreshe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…