Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Trillion kwa ajili ya Zanzibar pekee are you series?Ana miezi 8 tu lakini ameshakopa zaidi ya trillion 4 kwaajili ya zanzibar pekee yenye watu million 1.5
sasa tuje tusikie mzenji yeyote siku moja anabinua mdomo juu na vidole juu, ati muungano haujawasaidia na kwamba wanatudai pesa. watazitapika hizi.hata hivyo 2025 sio mbali.Hizi pesa zimekopwa na Tanganyika na Tanganyika ndio italipa
Trillion 1 inaenda kujenga airport Pemba
Ikumbukwe pia katika ule mkopo wa covid, amechukua billion 400 na Tanganyika ikabaki na billion 700
Vile vile ameshachukua mkopo Mwingine WB wenye dhamani ya trillion 1 kwaajili ya zanzibar pia
Note, mikopo hii yote Tanganyika ndio italipa
View attachment 2040768
View attachment 2040766
cha muhimu ni kwamba, hizi hela atalipa nani? watalipa na watanganyika atu watalipa wanzibari tu.Anaedhani Zanzibar haina haki ya kutumia TanZania sovereignty kunufaika.
Aombe Mungu muungano uvunjike kabla hajafa. Ili ashuhudie habari za Zanzibar zikiwekwa kwenye habari za kimataifa .
Hiyo 21% ni upole tu wa wazanzibar ilipaswa iwe tanganyika 50% zanzibar 50%Hatuna shida na Zanzibar kunufaika lakini je manufaa hayo ni proportional?
Hebu tazama, kwenye mkopo wa IMF wa dola bilion 1.3, Zanzibar iligawiwa around dola milion 230
Katibu mkuu kiongozi Mchengerwa anasema Zanzibar ipewe 21% ya Ajira zote za muungano
Leo tunakopa matrilion na tunaimwahia Pemba matrilioni
Je hii ni. proportional?
yaani wilaya ichukue ugali sahani moja na nchi? unaongea nini wewe? watu more than 55m. wachukue ugali sawa na watu 2ml. wapi na wapi?Hiyo 21% ni upole tu wa wazanzibar ilipaswa iwe tanganyika 50% zanzibar 50%
Kwa sababu zilizounganishwa ni sovereignty mbili.
Na hakuna sovereignty kubwa na ndogo.
Km mngetaka idadi kubwa mngeungana na Congo. Mkaachana na wilaya.yaani wilaya ichukue ugali sahani moja na nchi? unaongea nini wewe? watu more than 55m. wachukue ugali sawa na watu 2ml. wapi na wapi?
Kwani mseven alitua wapiTuwekee na picha za uwanja wa chato tuzione.
Sheria za Zanzibar 😂 watu sikujizi wajinga jingaHuyo sheria anakaa wapi niende kuonana naye
Kila mkopo unaotolewa kwa JMT zanibar ina mgao wake na kila upande utalipa kutokana na mgao wake,hiyo ipo kwenye articles za MuunganoHizi pesa zimekopwa na Tanganyika na Tanganyika ndio italipa
Trillion 1 inaenda kujenga airport Pemba
Ikumbukwe pia katika ule mkopo wa covid, amechukua billion 400 na Tanganyika ikabaki na billion 700
Vile vile ameshachukua mkopo Mwingine WB wenye dhamani ya trillion 1 kwaajili ya zanzibar pia
Note, mikopo hii yote Tanganyika ndio italipa
View attachment 2040768
View attachment 2040766
Tunahitaji sana airport kuliko hospitals na shule na maboresho ya miundo mbinu yake? Au ni vile upo CCM umevikwa UVIKO machoni!!!Tatizo liko wapi!
Pemba ni Tanzania.