Rais Samia kakopa trillion 1 kujenga airport, Hospitali, VETA na Depo ya mafuta Zanzibar

Zanzibar haina uwezo wa kulipa tu bills za umeme wa Tanesco kutoka Bara ndio wataweza kulipa hii mikopo ya matrilioni?

Ni wavuja jasho walalahoi vijijini a mijini Tanganyika wanaokunywa tope ndio watawalipia wapemba airport ya trillion 1
Kuhusu hili nakataa, utaratibu wa ununuzi wa umeme kama ilivyo system ya bara basi na hata Zanzibar iko hivyo hivyo....kwa Upande wa bara ni LUKU na kwa upande wa Zanzibar ni TUKUZA ....hivyo hakuna mtumiaji wa umeme anaetumia umeme wa bure kabla ya kuulipia.
Kama huelewi basi tatizo linaanzia juu na sio kwa mtumiaji.(Serikali na majengo yake)
 
Mlipolala Wapemba wameamka siku nyingi nyuma.
Mnataka muuziwe ardhi ndogo ya ZANZIBAR baadae mfanye kama ISRAEL walivyoifanyia PALESTINA.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Tutakuja kuambiwa Zanzibar inapaa kiuchumi wakati inatunyonya wabara. Angekuwepo kesy bungeni angeongea haya.
 
Kwani ana uchungu gani na Tanganyika? Acha aijenge nchi yake.
 
Mlipolala Wapemba wameamka siku nyingi nyuma.
Mnataka muuziwe ardhi ndogo ya ZANZIBAR baadae mfanye kama ISRAEL walivyoifanyia PALESTINA.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Nawapongeza kwa kuitunza Pemba yenu, nachoshangaa kuna mapopoma ya kitanzania Yanafikiri Tanganyika haipo
 
Tutakuja kuambiwa Zanzibar inapaa kiuchumi wakati inatunyonya wabara. Angekuwepo kesy bungeni angeongea haya.
Shida hii tunajitakia sisi wenyewe Watanganyika.

Kwanini tusiifungue mikono Zanzibar akawa inajisimamia yenyewe kwenye mikopo,badala ya kulazimisha kwamba Zanzibar inapotaka kukopa lazima idhaminiwe na SMT.

Kama Katiba mpya bado sana, wenye uchungu na hili na wapo jikoni huko wapendekeze marekebisho ya Katiba.

Mtaendelea kulalamika mpaka lini.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Mtu kwao jamani!Mimi namsifu kudos mazaa Fanya kweli usidharaulike...jifunze kwa mwendazake aliweka lami mpk sebuleni kwake,Kanda Ya ziwa yote lami!
Mama huu ndio wakati wa kuhakikisha kanuni ya 21% vs 79% inasimamiwa ,maana kwa miaka 6 ya Mwendazake mlidhulimiwa Sana na hiyo iko kwenye sheria.

By the way til 1 vs til 6 ni 14% vs 86% respectively.
 
Alijenga Geita mkoa unaochangia trillions kupitia dhahabu, Zanzibar mtanganyika hawezi kumiliki hata inch 1 ya ardhi lakini ndio mfadhili mkubwa wa Zanzibar kwa sasa meanwhile yapo maeneo lukuki Tanganyika watu wanakunywa tope
Acha mlipe si mlijipendekeza kwao kwani wao wanawahitaji? Watu wanataka muwaachie nchi yao mmeng'ang'ana tu Kama kupe.
 
Mtafanya nijiondoe JF kwa hoja hizi....Nina hofu...
 
Hii ndio hasara ya ukweli na uwazi.watz wanapenda ukikopa wajue baada ya muda kuwa umejenga na ulikopa.sasa akina Mwiguru jirekebisheni.kila taarifa iwekwe chanzo cha uhakika.mjue nani anayatoa ya ndani.
 
Bila katiba mpya, Tanganyika huru na kuitoa CCM madarakani hizi kelele hazitaisha milele.
Tuna muungano wa kihuni huni sana, na wahuni wanaendelea kupiga hapo hapo.
Anachokifanya Samia ni muendelezo tu wa mtawala kuvutia kwake, yale yale ya Magufuli kupeleka miradi Chato na Jakaya kulazimisha Bagamoyo nayo kuwa jiji.
 
Polepole yupo na wananchi ndiyo maana viewers ni wengi sana kwake .

Nape na Makamba wanajulikana ni timu Msoga ( wapigaji)

Viewers wengi wakati 90% wanaishia kumkejeli na negative comments kwenye wall yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…